Tunatoa huduma ya kukodisha magari

Tunatoa huduma ya kukodisha magari

jnia

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
112
Reaction score
37
Habari wapendwa, kwa niaba ya kampuni ya RABEVENTS ninayo furaha ya kuwatangazia fursa ndugu zangu wenye magari yao binafsi na wangependa kupata wateja wa kuyakodi magari hayo.

Hii itakusaidia kuongeza kipato chako pasipo kutegemea biashara au kazi yako.

karibuni sana.

rabbion@yahoo.com
0714 215942
Rabevents
 
Bei gani kwa saa, starlet kwa mfano
 
kwa kawaida huchajiwa 50,000 kwa siku.
pm tuongee vizuri.
 
wenye noah, coster, eicher pia karibuni tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom