Tunatoa huduma ya Fumigation, Landscaping And Gardening

Dith

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
57
Reaction score
18
Tunauwa wadudu wote wanaotambaa, wanaoruka n.k, wadudu ndani ya nyumba na mazingira yanayozunguka nyumba yako, kwenye maua, miti n.k. Tukikuhudumia, wadudu kwako itabaki historia. Wadudu wa kila aina tunashughulika nao na wanakwisha kabisa.

Tunatoa huduma ya landscaping, gardening na fumigation. Usihangaike sababu ya eneo la nyumbani kwako kujaa maji, tunakuleta suluhisho. Tunakutengenea bustani kwa kupanda nyasi na maua au miti. Tunaweka paving blocks n.k.

Utafurahia mazingira yako.Tunakushauri na kubadilisha mazingira yako kuwa vile uonavyo kwenye ndoto yako. Tunafanya ndoto yako kuwa kweli.

Karibu sana. Huduma zetu ni bora na nafuu.

Wasiliana nasi kwa namba 0769917961

#landscaping #gardening #fumigation #landscapinggardening #cleanness #cleannessservices #nyumba #ramanizanyumba #daressalaam #cleaningservices #cleaning.

28.jpg
View attachment 1593887
 
Nilikuwa naangalia kipengele cha bei elekezi kwa huduma!
 
Tunauwa wadudu wote wanaotambaa, wanaoruka n.k, wadudu ndani ya nyumba na mazingira yanayozunguka nyumba yako, kwenye maua, miti n.k. Tukikuhudumia, wadudu kwako itabaki historia. Wadudu wa kila aina tunashughulika nao na wanakwisha kabisa.

Tunatoa huduma ya landscaping, gardening na fumigation. Usihangaike sababu ya eneo la nyumbani kwako kujaa maji, tunakuleta suluhisho. Tunakutengenea bustani kwa kupanda nyasi na maua au miti. Tunaweka paving blocks n.k.

Utafurahia mazingira yako.Tunakushauri na kubadilisha mazingira yako kuwa vile uonavyo kwenye ndoto yako. Tunafanya ndoto yako kuwa kweli.

Karibu sana. Huduma zetu ni bora na nafuu.

Wasiliana nasi kwa namba 0769917961

#landscaping #gardening #fumigation #landscapinggardening #cleanness #cleannessservices #nyumba #ramanizanyumba #daressalaam #cleaningservices #cleaning.

View attachment 1593888View attachment 1593887
Mnaniboa mnapoweka picha za mitandaoni badala ya kazi yenu halisi.
 
Kwanini uboreke kwa kitu cha mwingine au kazi ya mwingine!!? Do you know sababu ya yeye kufanya hivyo?? Something is not okay with you, may be you change your mindset. Thank you for reply though
 
Shida Nadhani Hawajui Kuwa Watanzania Siyo Wajinga, Bei Hawaweki!! Wanataka Uwapigie
Nyumba yako mkuu ni sawa na nyumba ya jirani yako?? Au ni sawa na kiwanda?? Au ni sawa na banda la mifugo!!?? Na kama ni sawa je vinalingana ukubwa na wadudu waliopo eneo hilo?? Tutaweka bei ngapi unafikiri?? Na je dawa ya kuua mdudu wa mbao ni sawa na ya mdudu mbu?? Think before you comment na sio ushabiki tu.
 
Kwanini uboreke kwa kitu cha mwingine au kazi ya mwingine!!? Do you know sababu ya yeye kufanya hivyo?? Something is not okay with you, may be you change your mindset. Thank you for reply though
FFS put the bloody work of your own hands and stop showing attitudes dimwit!
You wanna know why am insisting so?! Sure you don't! Coz you aren't willing to learn and listen to your Future potential customers!
 
Nyumba yako mkuu ni sawa na nyumba ya jirani yako?? Au ni sawa na kiwanda?? Au ni sawa na banda la mifugo!!?? Na kama ni sawa je vinalingana ukubwa na wadudu waliopo eneo hilo?? Tutaweka bei ngapi unafikiri?? Na je dawa ya kuua mdudu wa mbao ni sawa na ya mdudu mbu?? Think before you comment na sio ushabiki tu.
Kukusaidia tu hata kama hutaki unafanya hivi...unachukua kazi uliyoifanya mfano gardening unaweka picha hapa then unasema kazi hii mfano nime charge elfu laki au laki elfu hamsini.
Mtu anakua anajua roughly.
 
Sawa mkuu asante sana, nitafanyia hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom