Tunatengeneza na kuprint card, bronchures n.k

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,698
Tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, ubatizo na sherehe za kila namna kwa kiwango cha juu kwa bei nafuu.
Pia tunatengeneza business cards kwa ajili ya makampuni, mashirika na watu binafsi, bronchures kwa ajili ya matangazo pia.

Pia kwa wanaohitaji kutengenezewa vyeti kwa mfano vyuo mbali mbali ambavyo vingependa kutengeneza vyeti kwa ajili ya kuwapa wanafunzi as computer certificates, au kikundi cha wanafunzi vyuoni n.k tunatengeneza kwa bei nafuu vyeti vya kiwango cha juu.
Tuko maeneo ya tegeta sokoni kama unaelekea bunju beside Azania bank.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba +255755955385 au tuandikie via mway09@gmail.com
Printing and Computer Solutions (PCS)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom