Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Kama usipo renew domain inauzwa?
Je, ikipita km miezi 3 hivi halafu uka renew bei inakuwaje?
Maana naona watu walionunua domain Godaddy wanalia baada ya kuona domain zao zinauzwa.
Kama domain yako imeexpire na kwa sasa ipo huru. Unaweza kuisajili kwa Gharama ya Tsh 15,000/= kwa mwaka kwa .com kurenew gharama ni Tsh 30,000/=. Kwa msaada zaidi CALL/ SMS/ WhatsApp : 0621454246 au 0711414246

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SSL Certificate ni cheti cha kieletroniki chenye taarifa muhimu zinazohusiana na Kampuni au mtu. Pindi funguo zenye taarifa ya cheti hiki zinapofungwa kwenye seva, basi husababisha browser kuonesha alama ya kufuri likimaanisha kuwa mawasiliano yote kati ya seva na browser yatapita kwenye njia salama. Mara nyingi, mtindo huu hutumika sana kulinda taarifa muhimu kama kwenye mabenki, manunuzi ya online na sehemu yoyote online inayopokea taarifa muhimu za mtumiaji.

Kwa siku za karibuni, tumeona ongezeko la matumizi ya SSL Certificates hata kwenye websites za kawaida ambazo hazipokei taarifa za watumiaji. Hii ni kwa sababu, mtandao wa utafutaji wa taarifa za mtandaoni (Google Search Engine) wameweka SSl certificate kama moja ya vigezo vyake katika upangaji wa utafutaji wa taarifa, hivyo watu wengi wameamua kutumia fursa ili kujiweka katika nafasi nzuri ya upatikanaji kwenye mitandao (online visibility).


Kwanini unahitaji SSL Certificate kwa Website ya biashara yako
Ukiacha sababu za kuongeza daraja la website kwenye mitandao ya utafutaji, SSl Certificate ikakusaidia;

  • Kuongeza usalama wa taarifa kati ya mtumiaji na seva
  • Kuongeza uaminifu kwa wateja
  • Kuboresha biashara kwa kuvutia wateja zaidi
 
Kumbe haina tofauti na mtu asiye na hosting account yake mwenyewe? Doh
Ndio mkuu, Gharama hiyo kwa upande wetu imekua hivyo hivyo sababu hosting tunahost wenyewe kwa gharama hiyo tunatoa free hosting miez 6, na free .com domain mwaka mzima.
 
Ndio mkuu, Gharama hiyo kwa upande wetu imekua hivyo hivyo sababu hosting tunahost wenyewe kwa gharama hiyo tunatoa free hosting miez 6, na free .com domain mwaka mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwa mteja mwenye "Hosting Account" yake mwenyewe na "domain names" zake kadhaa, ambaye shida yake yeye ni kutengenezewa websites tu? Hamkufikiria hilo kwenye "packages" zenu?
 
Vipi kwa mteja mwenye "Hosting Account" yake mwenyewe na "domain names" zake kadhaa, ambaye shida yake yeye ni kutengenezewa websites tu? Hamkufikiria hilo kwenye "packages" zenu?
Usiwe na shaka CALL/ SMS/ WhatsApp: 0621454246/ 0711414246. Tuweze kufahamu aina ya website na mahitaji yake tunaweza kufanya kazi.
 
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa.
 
Sajiri Domain yako pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Our Hosting Package
JamiiForums556548637.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Offa maalumu ya mwezi huu. Je unamiliki biashara ya aina yeyote na ulikua unahitaji kufikia wateja wengi, kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Tumetoa punguzo kwa kukutengenezea website. Jitangaze, Uza bidhaa zako sasa kupitia website/ Tovuti yako mwenyewe.

Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.

NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.

Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.621454246




View attachment 1518198

View attachment 1518199

View attachment 1518200

View attachment 1518201


View attachment 1519655
Salama
 
Boresha Biashara/ Kampuni yako kuonekana ya Kisasa Zaidi, Karibu tukutengenezee Website / Logo Kwa Gharama Nafuu Zaidi.
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Back
Top Bottom