unimaginable
Member
- Jan 31, 2017
- 39
- 53
KaribuAsante kwa taarifa!
Bei gani. Eleza kila size na bei yake tushawishike!Habari wadau wa JF. Sina maneno mengi isipokuwa napenda kuchukua fursa hii ya JF kutangaza kwenu wadau wa nyuki na wakulima kwamba Shirika letu la "Tanzania Beekeeping and Environmental Services (TANBEES)" tunatengeneza mizinga ya kisasa kabisa ya nyuki (Langstroth) na mingineyo kadri ya uhitaji wa mteja.
Mizinga yetu inakupa urahisi wa kuvuna mazao yote ya nyuki kirahisi sana. Ofisi yetu ipo Wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga lakini tunapokea order na kutuma mzigo popote Tanzania. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0744203104.
View attachment 3278133View attachment 3278134
Mzinga huo wa Langstroth una box mbili (box ya chini ipo Kwa ajili ya uzalishaji wa malikia, na box la juu lipo Kwa ajili ya nyuki kuhifadhi asali).Bei gani. Eleza kila size na bei yake tushawishike!
Mkuu,bei sasaMzinga huo wa Langstroth una box mbili (box ya chini ipo Kwa ajili ya uzalishaji wa malikia, na box la juu lipo Kwa ajili ya nyuki kuhifadhi asali).
Box la chini: upana 42.5cm, urefu 91cm na kina ni 23.5cm
Box la juu: Upana 42.5cm, urefu 91cm na kina 15.2cm
BIDHAA UTAKAZOWEZA VUNA KUPITIA MZINGA HUU
1) Asali 2) Nta 3) Chavua 4) Gundi ya nyuki 5) Mkate wa nyuki 6) Royal jelly 7) Sumu ya nyuki.
Bei ya mzinga ni TZS 200,000=
Huu ni uwekezaji mkuu. Linapokuja suala la uwekezaji angalia manufaa na hasara. Samahani kwa usemi huu lakini ndivyo ilivyo kwa watu wengi, linapokuja suala la spending watu wapo tayari kununua kabati au dressing table kwa 500k + na wanaweka tu ndani hazalishi kupitia kabati hilo lkn Kwa Mzinga huu ndani ya mwaka mmoja (1) pesa yako inarudi na surplus. Ni suala tu la vipaumbele na maamuzi sahihi.Mkuu,bei sasa
Nyuki wana sense kwa haraka sana harufu ya products zao kabla ya kitu kingine chochote. Kitu kama asali na nta ni vitu vya haraka kuvutia nyuki kuja eneo husika. Wengi wetu tunatumia nta ya nyuki kuweka ndani na nje ya mzinga kuwavutia nyuki.Naomba kujuzwa ni njia gani hutumika kuvutia nyuki kuingia kwenye mzinga haraka
Uko sahihi mkuuHuu ni uwekezaji mkuu. Linapokuja suala la uwekezaji angalia manufaa na hasara. Samahani kwa usemi huu lakini ndivyo ilivyo kwa watu wengi, linapokuja suala la spending watu wapo tayari kununua kabati au dressing table kwa 500k + na wanaweka tu ndani hazalishi kupitia kabati hilo lkn Kwa Mzinga huu ndani ya mwaka mmoja (1) pesa yako inarudi na surplus. Ni suala tu la vipaumbele na maamuzi sahihi.
Fungueni tawi Kibaha na Mvomero tafadhali tunahitaji sana, bei zenu zikojeMizinga yetu inakupa urahisi wa kuvuna mazao yote ya nyuki kirahisi sana. Ofisi yetu ipo Wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga lakini tunapokea order na kutuma mzigo popote Tanzania. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0744203104.
Kwa zao la Asali peke yake mzinga wetu unaweza kuvuna mara 3 hadi 4 ndani ya mwaka mmoja (1), na kutokana na fremu zilizopo kwenye mzinga wetu unaweza pata Lita 10 hadi 12 kwa kila mvuno. Ukilinganisha na thamani ya sasa ya asali ni wazi utapata sio chini ya 300k kwa mwaka hapo utakuwa ume break-even ndani ya mwaka 1.Uko sahihi mkuu
Asante sana kwa ushauri mzuri. Management itaufanyia kazi ushauri wako. Bei zetu kwa mzinga ni TZS 200,000Fungueni tawi Kibaha na Mvomero tafadhali tunahitaji sana, bei zenu zikoje
Mzinga ni tsh 200,000.Kwa zao la Asali peke yake mzinga wetu unaweza kuvuna mara 3 hadi 4 ndani ya mwaka mmoja (1), na kutokana na fremu zilizopo kwenye mzinga wetu unaweza pata Lita 10 hadi 12 kwa kila mvuno. Ukilinganisha na thamani ya sasa ya asali ni wazi utapata sio chini ya 300k kwa mwaka hapo utakuwa ume break-even ndani ya mwaka 1.