Tunatengeneza Furniture za kisasa

Tunatengeneza Furniture za kisasa

0657888724

0743591211
Vitanda tunatumia mbao za aina tatu mkuu
-mninga (mbao hii vitanda vyake hua hatufanyi finishing ya rangi

- tunatumia Cyprus ktk vitanda ambavyo vinapigwa rangi

-gams hizi tunatumia ktk vitanda. Vinavyofunikwa na spongy na kitambaa...

UTARATIBU WETU NI HUU
-ODA
-MALIPO
-RECEIVE
 
Mkuu sofa bed ni kochi(sofa) ambalo unaweza kuligeuza kitanda, kuna jinsi unali-extend. Hivyo vitanda vyenye sponge pembeni sio sofa bed.
Ni sofa bed kiongozi
 
Mimi wasiwasi wangu ni hizo Price tu kwasababu

kwa hapa dsm, Leather au velvet nzuri zinaanzia 7000 kwa leather na 8000 kwa velvet

kitanda cha 5*6 ukifunike chote na leather au velvet kinakula mita 9 au 10

so hapo kitambaa pekee ni zaid ya elfu 70,000

Sheets za inch 2 kwa hapa dsm ni 16,000, za inch moja ni 8000.. kitanda kinatumia sheet 1 ya inch 2 na mbili za nch 1.. so unakuta una 32,000 nyingne iko hapo

Kuna mambao hapo, misumar, gundi, chaga +gharama za ufundi

kama ni 2*6= sio chini ya 4 zinatakiwa kutumika hapo

Kwa gharama za kukitengeneza kutumia softwood kama Pines cha kawaida tu ni kama 200,000 hv (bila gharama za ufundi)

Ukiweka hapo gharama za ufundi+ profit... sidhan kama unaweza kuuza 165,000...

Sofa bed hamna hamna ni 400,000+ kwa soft wood na 800,000 na kuendelea kwa hardwood

Na zinakua hazina puff wala side beds... incase zinayo, sio chini ya 600,000 kwa softwood na 1 mil kwa hardwood

au laa, pengine unajua unavyotengeneza mwenyewe..
 
Mkuu ....nitaomba nikufundishe biashara kidogo ...

Sio kila biashara unayoifanya ni lazima upate faida Mara mbili au zaid ya mtaji wako .....nimetengeneza hizo bed kwa kipindi kirefu sana na nilipokua naanza nilikua napata faida elfu 6 tu ....LAKINI NAJUA JINSI GANI NAINGIZA FAIDA ZAIDI NA ZAIDI .......

Nina uhakika mkuu wangu katika wateja 10 ninao wauzia vitanda kwa faida kiduchu ,8 kati yao wanarudi na kuhitaji vitu kama sofa,kabati, nk.... Wakishindwa kurudi basi wameniletea wateja ZAIDI kwa kuwa mashuhuda wa furniture zetu ......

......

...mkuuu najua unajaribu kutambua secret of my business hahahahaha

Mita 10 ??? Umeshawah tengeneza kweli sofa bed ...

Hata ningetumia hiyo hesabu yako bado nabakiwa na pesa

70,000+32,000+hivyo vingne hata havizidi 45,000.....

Kwahyo Nilichogundua umezoea Fanya biashara zile utumie elfu 10 upate elfu 20......KWA KIPINDI HIKI CHA MJOMBA UTAPATATABU SANA

Ninakuambia hivyo sio kwamba sina office au sijui vinavyo tengenezwa..... nenda Instagram search @silasfurniture_01, mm ndio mmiliki

Anyway.. ni soko huria.. ila kuweka mahali 140 uuze 165.. bado ni free delivery....??? real? , gharama za kusafirisha kwa bus, hua ni wastani wa 50,000 elfu kwa kitanda.. anyway.. unajua mwenyewe unavyopiga hesabu zako, biashara njema
 
Sawa ....mkuu biashara ni pana sana .NINAKUBALI KUJIFUNZA KUTOKA KWAKO ,

Ikiwezekana naomba tuwasiliane waweza kua na soko zuri niwe nakuuzia kwa bei ya jumla mkuu
Ninakuambia hivyo sio kwamba sina office au sijui vinavyo tengenezwa..... nenda Instagram search @silasfurniture_01, mm ndio mmiliki

Anyway.. ni soko huria.. ila kuweka mahali 140 uuze 165.. bado ni free delivery....??? real? , gharama za kusafirisha kwa bus, hua ni wastani wa 50,000 elfu kwa kitanda.. anyway.. unajua mwenyewe unavyopiga hesabu zako, biashara njema
 
Nipo tayari kufanya biashara nawe.... Endapo unasoko zuri ......niwe natengeneza nakuuzia kwa faida kiduchu wewe ukapige faida mbele

Naamini itakua best deal zaid
Ninakuambia hivyo sio kwamba sina office au sijui vinavyo tengenezwa..... nenda Instagram search @silasfurniture_01, mm ndio mmiliki

Anyway.. ni soko huria.. ila kuweka mahali 140 uuze 165.. bado ni free delivery....??? real? , gharama za kusafirisha kwa bus, hua ni wastani wa 50,000 elfu kwa kitanda.. anyway.. unajua mwenyewe unavyopiga hesabu zako, biashara njema
 
Mkuu ....nitaomba nikufundishe biashara kidogo ...

Sio kila biashara unayoifanya ni lazima upate faida Mara mbili au zaid ya mtaji wako .....nimetengeneza hizo bed kwa kipindi kirefu sana na nilipokua naanza nilikua napata faida elfu 6 tu ....LAKINI NAJUA JINSI GANI NAINGIZA FAIDA ZAIDI NA ZAIDI .......

Nina uhakika mkuu wangu katika wateja 10 ninao wauzia vitanda kwa faida kiduchu ,8 kati yao wanarudi na kuhitaji vitu kama sofa,kabati, nk.... Wakishindwa kurudi basi wameniletea wateja ZAIDI kwa kuwa mashuhuda wa furniture zetu ......

......

...mkuuu najua unajaribu kutambua secret of my business hahahahaha
Sawa, biashara njema.. order inachukua mda gani?
 
Karibuni sana IRINGA DECOR kwa furniture za kisasa....TUNAPATIKANA IRINGA MJINI(FRELIMO MAGENGENI)

FURNITURE ZETU NI IMARA NA ZA KISASA .....karibuni mjipatie Vtanda,shoe rack,makabati,kitchen cabinet ,dinning set aina mbali mbali kwa bei nafuu kabisa

Hizi ni bei zetu kwa baadhi ya furniture..

-sofa bed ..
5*6 vinaanzia 165,000/=
6*6 vinaanzia 195,000/=
7*6 vinaanzia 250,000

-vitanda vya mbao(rangi)
5*6 vinaanzia 125,000/=
6*6 vinaanzia 175,000/=
7*6 vinaanzia 215,000/=

MAKABATI (NGUO NA VYOMBO)

-mlango mmoja 180,000/=
- miwili. 255,000/=
- mitatu. 360,000/=
- sita. 680,000/=

DINNING TABLE

Set ya viti vinne. 380,000/=
Set ya viti 6..........650,000/=

Kitchen cabinets...

-kwa kila mita moja - 430,000/=
Bei hii ni juu na chini
Kwa kutumia soft wood

-kwa kila mita moja kwa kutumia hardwood itakua 550,000/=

NB...TUNAFIKISHA MZIGO MIKOA YOTE.....

USAFIRI NI BURE KWA MIKOA YA DSM ,DODOMA, MBEYA, RUVUMA,ARUSHA,SINGIDA,NJOMBE,SONGWE...

View attachment 920202View attachment 920203View attachment 920204View attachment 920205View attachment 920206View attachment 920207View attachment 920208View attachment 920209View attachment 920210View attachment 920213View attachment 920214View attachment 920215View attachment 920216View attachment 920217
Sofa kama hii....inapatikana kwetu kwa bei nafuu sana...
IMG_20181104_115011_948.jpeg
 
Back
Top Bottom