Chawa Wa MamaNgoja wake wasemaji wa Dr naniliu wajibu hili
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.CCM ni tatizo! I
Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza.
Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga kuziuza ndege baadhi ambazo zilinunuliwa na serikali ya awamu ya Tano..kwa kugezo kwamba zinafanya kazi kwa hasara.
Tunasikia na kutonywa kwamba,tayari kuna makampuni makubwa yameanza kufanya mikakati ya kutaka kuinunua ndege ile!
Na tayari maombi yametumwa.
Tumeambiwa kwamba yule mzungu wa mashamba ya miwa,ambayo alishindwa kuyaendeleza na hivyo akapokwa kisheria.
Na taratibu zote zilifuatwa,na hatimae ndio akapewa Bakhressa.
Hakuwa na nia yoyote ya kesi,bali mkakati huo amepelekewa toka hapahapa.
Tunatonywa kwamba kuna watanzania ambao walikwenda na kunshawishi upya ili afungue kesi ile ili upatikane upenyo wa kuiondoa nchini.
Na hili linapewa nguvu na ukweli kwamba ....
Hapo awali tuliambiwa ndege ile ilikuwa pale,sababu ya matatizo ya kiufundi,bayo yanazikumba ndege za model ile.
Baadae ndio tunaletewa story za mzungu wa kesi ya mashamba.
Serikali imekaa kimya,kama vile hakuna mali yetu iko nje ya nchi bila uchungu.
Sio msemaji wa serikali,wala waziri wa mawasiliano,au hata Rais na waziri mkuu mwenyewe.
Tokeni watetezi wa mama mtuambie ukweli.
Ile ndege ikiuzwa kimizengwe...ndio itaondoka na utawala wa CCM.
Hatutapoa ......
Tukatae wahuni.....
Alamsikhi.
10101.
Acha uongo.CCM ni tatizo! I

Una kiwanja!N
Acha uongo.
Yoote haya ni matokeo ya ubabe wa Mwendazake kujichulia sheria mikononi.
Wawekezaji wakija nchini wanajihami kisheria na kujikinga kimikata dhidi ya mambo kama kunyang'anywa maeneo mliyoingia nayo mikataba inayotambulika kimatsifa.
Jiulize suala la ACCACIA liliisha vipi?
Suala la kufukuzwa na Magufulimkandarasi Frderucci aliyejenga barabara ya Bagamoyo/Bunju limeishia wapi?
Suala la kuwafukuza kina Manji Quality Plaza limeishia wapi?
Suala la kukatiza mkataba na deni la kampuni ya Konoike limeishia wapi?
Ubabe mwingi kuliko akili ndiyo yametufikisha hapa tulipo, na pesa inatutokea puani.
Kwa jinsi Tanzania ilivyojaa wezi hili linaweza kutokea ....CCM ni tatizo! I
Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza.
Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga kuziuza ndege baadhi ambazo zilinunuliwa na serikali ya awamu ya Tano..kwa kugezo kwamba zinafanya kazi kwa hasara.
Tunasikia na kutonywa kwamba,tayari kuna makampuni makubwa yameanza kufanya mikakati ya kutaka kuinunua ndege ile!
Na tayari maombi yametumwa.
Tumeambiwa kwamba yule mzungu wa mashamba ya miwa,ambayo alishindwa kuyaendeleza na hivyo akapokwa kisheria.
Na taratibu zote zilifuatwa,na hatimae ndio akapewa Bakhressa.
Hakuwa na nia yoyote ya kesi,bali mkakati huo amepelekewa toka hapahapa.
Tunatonywa kwamba kuna watanzania ambao walikwenda na kunshawishi upya ili afungue kesi ile ili upatikane upenyo wa kuiondoa nchini.
Na hili linapewa nguvu na ukweli kwamba ....
Hapo awali tuliambiwa ndege ile ilikuwa pale,sababu ya matatizo ya kiufundi,bayo yanazikumba ndege za model ile.
Baadae ndio tunaletewa story za mzungu wa kesi ya mashamba.
Serikali imekaa kimya,kama vile hakuna mali yetu iko nje ya nchi bila uchungu.
Sio msemaji wa serikali,wala waziri wa mawasiliano,au hata Rais na waziri mkuu mwenyewe.
Tokeni watetezi wa mama mtuambie ukweli.
Ile ndege ikiuzwa kimizengwe...ndio itaondoka na utawala wa CCM.
Hatutapoa ......
Tukatae wahuni.....
Alamsikhi.
10101.
Wacha yauzwe tuCCM ni tatizo! I

CCM ni tatizo! I

Walisemea mjengoni kuwa akashia wamelipa sh 600bn badala ya matrilioni, na ikaulizwa, kwanini sirikali haijasema kama imepokea mabilioni hayo!Jiulize suala la ACCACIA liliisha vipi?
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
since when serikali inafanya mambo kwa wanainchi kuridhia?
HIZI NDEGE KWA TAIFA KAMA TANZANIA HAZINA FAIDA YOYOTE, BALI KUIPA TU SEREKALI MZIGO WA UTUNZAJI, ENDAPO KAMA HATA WAKIAMUA KUZIUZA ZOTE HIZO KUBWA HAKUNA UBAYA WOWOTE, TANZANIA ILIHITAJI ZAIDI CARGO PLANE KULIKO HAYO MADUBWASHA YASIYO NA ROUTE NA YENYE GHARAMA KUBWA KIUTUNZAJI.CCM ni tatizo! I
Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza.
Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga kuziuza ndege baadhi ambazo zilinunuliwa na serikali ya awamu ya Tano..kwa kugezo kwamba zinafanya kazi kwa hasara.
Tunasikia na kutonywa kwamba,tayari kuna makampuni makubwa yameanza kufanya mikakati ya kutaka kuinunua ndege ile!
Na tayari maombi yametumwa.
Tumeambiwa kwamba yule mzungu wa mashamba ya miwa,ambayo alishindwa kuyaendeleza na hivyo akapokwa kisheria.
Na taratibu zote zilifuatwa,na hatimae ndio akapewa Bakhressa.
Hakuwa na nia yoyote ya kesi,bali mkakati huo amepelekewa toka hapahapa.
Tunatonywa kwamba kuna watanzania ambao walikwenda na kunshawishi upya ili afungue kesi ile ili upatikane upenyo wa kuiondoa nchini.
Na hili linapewa nguvu na ukweli kwamba ....
Hapo awali tuliambiwa ndege ile ilikuwa pale,sababu ya matatizo ya kiufundi,bayo yanazikumba ndege za model ile.
Baadae ndio tunaletewa story za mzungu wa kesi ya mashamba.
Serikali imekaa kimya,kama vile hakuna mali yetu iko nje ya nchi bila uchungu.
Sio msemaji wa serikali,wala waziri wa mawasiliano,au hata Rais na waziri mkuu mwenyewe.
Tokeni watetezi wa mama mtuambie ukweli.
Ile ndege ikiuzwa kimizengwe...ndio itaondoka na utawala wa CCM.
Hatutapoa ......
Tukatae wahuni.....
Alamsikhi.
10101.
Tumsubiri Msigwa atupange.Ngoja wake wasemaji wa Dr naniliu wajibu hili
Tulinde ufahari na Tuzipambe maua na tuzipigie vigelegele!, huko mbeleni kabisa Zije zikatwe scrapperKuhujumu hizi ndege itakuwa ni uhaini wanyongwe. Ndege hizo ni Fahari ya Taifa
Kwa sababu wewe unaishi kwa uchungu,endelea hivyo.Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.