Tunataka uhuru wa kuvaa tunavyopenda

Tunataka uhuru wa kuvaa tunavyopenda

TKNL

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
628
Reaction score
588
too-short-mini-skirts1.jpg
 
hao ni mahakaba wa europe hizo ni nguo zao za kazi.
 
Unavutiwa kwa haraka pia ni rahisi kutumia...imekosekana price tag tu.
 
Hawa hawapiti katika anga za uamsho?

Hao Uamsho wanatakiwa sometomes waje na Facts kubainisha mambo...lakini wanapotimia kigezo cha dini hapo ndipo wanapofail watu wengne hatuamin katka dini...ila kama wakitoa good analysis ya haya mambo hata wanayopigania yanaweza kuwekwa kwenye katiba
Everything is good or bad if u have sufficient knowledge abt it
 
Wasikosee njia tu wakajikuta wanakatiza mbele ya msikitiki wa mtambani pale Kinondoni....
Hao Uamsho wanatakiwa sometomes waje na Facts kubainisha mambo...lakini wanapotimia kigezo cha dini hapo ndipo wanapofail watu wengne hatuamin katka dini...ila kama wakitoa good analysis ya haya mambo hata wanayopigania yanaweza kuwekwa kwenye katiba
Everything is good or bad if u have sufficient knowledge abt it
 
Hizi wanaita nguo za ndani au za nje?
sijui hata tuite je ila naomba wakati huku ninako kaa, chakula njenje bahati iliyoje hiyo, maana huko wanakopita inaonekana vidume vimejichokea aisee
 
bora yule wa kenya..hao wanaenda jehanamu bila ubishi
 
Back
Top Bottom