Mkuu tume huru na hata katiba mpya ni muhimu sana.
Hata hivyo hapa tulipo tuko karibu mno na kifo kuliko wakati mwingine wowote.
Waswahili wanasema "ukiona mwenzako ananyolewa ...."
Ni muhimu zaidi kwa sasa kudai haki yetu ya kuishi kwa vitendo.
Tusisahau katika kutapatapa tusishangae kurushiwa mifupa mitupu hata yakiwamo mazungumzo kwa ajili ya katiba mpya na hata tume huru.
Au nasema uongo ndugu zangu?