Hili ni hitaji la wazi na nimependa aina hiyo ya kufikisha ujumbe. Inatakiwa zitengenezwe t-shirt na kuweka vipeperushi nchi nzima ili kuweka public awareness ya jambo hili. Ujumbe Uwe hakuna kushiriki uchaguzi wowote bila tume huru ya uchaguzi, na viongozi wote wa chaguzi hizi za kihuni ni batili.