Tunataka Ndugai ajiuzulu

Naunga mkono kwa asilimia 100
 
hata mimi nimeshangaa hivi nduga anathubutu vipi bila aibu kumtaka cag ajiuzulu? kwa lipi? kumba alisuka mpango wa kumkataa ili Assad ajiuzulu? niliona aibu jana kuliko yeye aliyesema. Ndugai hatufai ajiuzulu. kwanza hana mvuto yuko kama anakwashkoor
Ana kifaduro itakuwa.
 
Hakuna wa Kupingana na Matakwa ya Jiwe kwa sasa,hajazaliwa bado.
 
Mheshimiwa Ndugai Jiuzulu kwa sababu zifuatazo.

1. Umeshindwa kuliongoza bunge (umeondoa bunge live, ufisadi unafanyika umeshindwa kuiwajibisha serikali)
2. Bunge lako limetunga sheria za hovyo (sheria ya habari na utafutaji wa habari) pamoja na nyingine
3. Mh Ndugai umeshindwa kuwaweka wabunge pamoja pamoja badala yake bunge limegawanyika vipande vipande
4. Bunge lako linaongoza kwa kuvunja kanuni mbali mbali za uendeshaji (ref. Lema kupelekwa kwenye kamati ya maadili kwa kauli aliyotoa bungeni badala ya kuombwa kuthibitisha au kuifuta, lakini pia adhabu uliyotoa haipo kikanuni)
5. Bunge lako limeshindwa kutoa stahiki za wabunge hasa mbunge Lissu - kutotoa matibabu yake
6. Mh Ndugai jiuzulu kwa kushindwa kusimamia matumizi ya fedha za umma. Ununuzi wa Ndege, ujenzi wa airport Chato, Ununuzi wa Korosho, ujenzi wa ukuta mererani, etc
7. kushindwa kumaliza mgogoro huu na CAG nao ni shida maana wangeweza kukaa meza moja kuongea na kuelewana. (ugomvi hutokea pale pande mbili zinaposhindwa kuona pande mbili za shillingi. kila mmoja akingangania kusema huku ni kichwa na mwengine akisema ni mwenge na sio kichwa.) Hivyo solution na pande hizo kukaa na kuoneshana kwamba shilling inapande mbili.
 
Ni hivii, unachoki predict kimechana mkeka!!

Kina ****** waliazimia kutokufanya kazi na Prof. Assad na kwa msisitizo ****** alifafanua kuwa bunge halitaipokea ripoti ikisainiwa na Prof. Assad.

Wote tumeona na kutambua kuwa maazimio ya bunge ni maslahi ya bunge na sii wananchi! Azimio limevunjwa na naibu spika wala hatuoni hatua anazochukuliwa na wabunge "walioazimia"

Ndugai na magufuli wanatapatapa kutulazimisha kuwaangalia walivyovua nguo (mashidano ya vibamia)

Mbinu pekee inayofuata ni kumpa kesi ya uhujumu uchumi (nayo itaongeza uelewa wa wananzengo kuwa wanaibiwaaaa)
 

Unawekaje shinikizo? tatizo huwa mnaishia kwenye keyboard zenu bhaasi....tulia kama unanyolewa wenye yao wafanye wanavyoona inafaa...huo ndiyo ukweli....LA SIVYO UTACHAKAA
 
Kuna maajabu sana nchi hii.

Wengi tulitarajia jana Ndugai angejiuzulu. Cha ajabu anaenda kueleza kuwa CAG ajiuzulu! Hivi yeye anajiona anafaa sana kwenye hiyo nafasi? Upuuzi wa hali ya juu sana.
 
Wazalendo gani hao? Kwa mzalendo wa ukweli hawezi kumuondoa CAG na hao wanaopanga kumuondoa CAG watakuwa ni mashetani mafisadi wakubwa wanakwepa kuumbuliwa ufisadi wao
 
Swali fikirishi nini kifanyike km viongozi dhaifu huongoza taasisi imara
 
Kuna maajabu sana nchi hii.

Wengi tulitarajia jana Ndugai angejiuzulu. Cha ajabu anaenda kueleza kuwa CAG ajiuzulu! Hivi yeye anajiona anafaa sana kwenye hiyo nafasi? Upuuzi wa hali ya juu sana.
Ndungai vs Assad kwa kweli Assad ni bora mara 100 ya ndungai, wananchi wote wa Tanzania nzima wapo nyuma ya profesa Assad hawataki kumuona wala kumsikia ndungai
 
Swali fikirishi nini kifanyike km viongozi dhaifu huongoza taasisi imara
ndungai ni shetani asomewe albadiri kali arejeshwe india akafie huko mbele hicho ndicho kiini cha kumaliza kero za ndungai kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…