GE2010 Tunataka matokeo ya URAS jamvini hapa

GE2010 Tunataka matokeo ya URAS jamvini hapa

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
678
Reaction score
49
Jamani, UDIWANI, UBUNGE si dili sasa, DILI ni URAIS. Hebu wenye taarifa ya jumla yote toka kwenye vituo vyote hata kama haijathibitishwa na tume, WAIMAGE HAPA.

TV wanaboa tu, story zao za tuchosah. Tumeshindwa hata kufanya kazi. Inamaana kujumlisha ni taabu jamani?
 
Back
Top Bottom