Tunatafuta wafanyakazi

kumbe na wewe huku unapitaga.....
vipi kijana wako amepata ajira tayari!!!!!!
Bado bhana, kama hutajali nisaidie kumtafutia malkia wangu.

Kuhusu kupita huku mimi nafikiri malkia wangu hakuna jukwaa ambalo sijalipitia sema tu kule nakupenda zaidi kwa kuwa ndiko nilikokupatia.
 

nyie ni matapeli mnakuja jf mara kwa mara watu wanatuma cv zao mnatokomea sema mnataka kuanzsha agents kampan ya requruitment mstapeli watanzania wasio na ajira jaman kuwen makini wadogo zetu
 
Big up wakala wa ajira

 
acha usanii daily mnataka cv hutaji ofs
 
akili zikiwa huko kwa kutolea haja kubwa utajua tuuu,sasa unagombana na mtu hata humjui yeye kasema tumeni CV sasa wewe kama hutaki si unaacha tuu mpaka uonyeshe kuwa unavutiaga yale majani chooni??

Pole sana nilikuwa sijui kuwa akili zako ziko huko.
 
Wadau wote

Tunawashukuru sana kwa ushirikiano na maombi yenu mliyotuma kwetu,Wale waliopata kazi tunawapongeza sana na ambao hawajapata bado wasiwe na wasiwasi sisi tupo kwa ajili yenu ni swala la muda tuu.

Naomba muendelee kutuma CV na Certificates zenu kwa kutumia email hii mpya ya info@lenjentz.com

Kuanzia sasa hii ndio itakuwa email ya kupokea maombi yenu,wale waliotuma kwenye gmail email na hamkuitwa sasa mnaweza tuma kwenye hii info@lenjentz.com

Nawashukuru sana na karibuni nyote

 


Ofisi zenu ziko wapi?? ningependa niwatembelee
 
Aliye pata kazi atupe ushuhuda.
 


Safi sana naona wakuu mmekua vyema sasa mnatumia email yenu wenyewe

Nimetuma CV kama nne hivi za jamaa zangu naomba sana muwasaidie,nita kupm kwa taarifa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…