Tunatafuta wafanyakazi wa kiume

Tunatafuta wafanyakazi wa kiume

paul miteda

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
131
Reaction score
592
Tunatafuta wafanyakazi wa kiume Njiro, Arusha. Kazi ya kuhudumia bar yetu ilipo conteina Njiro, vigezo wawe watanashati na mwonekano mzuri.

Mshahara kuanzi laki 3.
 
Bado wanahitajika mi mzoefu Wa kuuza duka la bidhaa mbali mbali Kwa miaka 3
 
Kwanini wa kiume na si wa kike?

Nimeshangaa, bar nyingi zina KE toka sehemu fulani hivi
 
Back
Top Bottom