Tunatafuta Production Supervisor - Beverage Industry

Tunatafuta Production Supervisor - Beverage Industry

KingRay

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
516
Reaction score
291
Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent.

Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc ...

Elimu : angalau BA in Food Processing/ Chemical/ or even electro Engineering

Uzoefu: angalau si chini ya miaka mitano kwenye viwanda vya maji au soda/Juice

Tuma CV: hr@kisimawater.com

Ahsante.
 
Mkuu mimi sina hiyo bachelor.

Ila kama kuna nafasi za vibarua nitashukuru Sana ukiniconnect.

Elimu yangu ni kidato cha 4.

Nina ujuzi wa computer.

Nipo tayari kufanya kazi hata KWA malipo kiduchu at least nipate cha kuandika kwa CV yangu.
 
Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent.

Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc...
Je, mwenye bachelor in physics na experience ya mwaka mmoja anaweza kuapply?
 
Mkuu mimi sina hiyo bachelor.

Ila kama kuna nafasi za vibarua nitashukuru Sana ukiniconnect.

Elimu yangu ni kidato cha 4.

Nina ujuzi wa computer.

Nipo tayari kufanya kazi hata KWA malipo kiduchu at least nipate cha kuandika kwa CV yangu.
Unaweza kutengeneza video za katuni?
 
Back
Top Bottom