Taasisi ya Mifupa-MOI
Member
- Apr 15, 2025
- 91
- 174
Kuna majaribu sana kwenye familia nyingi sana.. mungu atuonekanieInaumiza sana! Pengine ndugu walishaanua tanga wakidhani amekufa na hawatamuona tena
Huo mkeka watakaokutana nao huko watachoamua ni kusema huyo sio ndugu yao na hawamtambui nazungumzia mkeka wa tangu March 6 mpaka leo March 17 sio mdogoInaumiza sana! Pengine ndugu walishaanua tanga wakidhani amekufa na hawatamuona tena
Umeambiwa hana kumbukumbu hata jina lake halitambui in short memory break down short circuitTaarifa mbona haijakamilika?
Anaitwa nani huyo mgonjwa,
Anaishi wapi,
Kama ametengemaa nilitegemea awe ametoa na hizo taarifa muhimu.
Taarifa inasema ametengemaa ndio nikajua memory imerudiUmeambiwa hana kumbukumbu hata jina lake halitambui in short memory break down short circuit
Kapona jeraha la kichwa ila hana kumbukumbuTaarifa inasema ametengemaa ndio nikajua memory imerudi
Kama hivyo SawaKapona jeraha la kichwa ila hana kumbukumbu
na wew,, Kwani alipo pokelewa mara ya kwanza hakuandikwa Jina kwenye faili lake? na alifikaje fikaje pale hospitalUmeambiwa hana kumbukumbu hata jina lake halitambui in short memory break down short circuit
Hayo ni maswali ya MOI sio ya kwangu sawa mrembo mzuri mkuu tumeelewanana wew,, Kwani alipo pokelewa mara ya kwanza hakuandikwa Jina kwenye faili lake? na alifikaje fikaje pale hospital
Umesoma kwa kituo. Jamaa alipata majeraha KICHWANI HIVYO KWA SASA ANA MEMORY LOSS.Taarifa mbona haijakamilika?
Anaitwa nani huyo mgonjwa,
Anaishi wapi,
Kama ametengemaa nilitegemea awe ametoa na hizo taarifa muhimu.
Ivii kwa mfano wengine hawatembei na simu, vitambulisho unadhani ukipata ajari ya majeraha KICHWANI unadhani unaweza kukumbukaFarolito ameuliza taarifa haija kamilika ila umeona ulicho mjibu,,, sasa na mimi ndo nimekuuliza, Kwani alipo pelekwa hospital hakuandikwa jina
daktari mmesema kwa sasa,,, huyo muuliza swali atakua anamaanisha before "sasa" je hakuwaga na jina? au mlimpokea bila kuchukua maelezo yake?Umesoma kwa kituo. Jamaa alipata majeraha KICHWANI HIVYO KWA SASA ANA MEMORY LOSS.
kapoteza kumbukumbu hivyo KUWEZA kukumbuka ita mchukua muda KUWEZA kupata kumbukumbu again.
Mwenyezi Mungu atutangulie sana kwenye haya maisha hatuzijui kesho zetuu.
ndo mueleze hapo kwenye barua yenu,, kwamba aliokotwa ili tujueIvii kwa mfano wengine hawatembei na simu, vitambulisho unadhani ukipata ajari ya majeraha KICHWANI unadhani unaweza kukumbuka
Mmeshawaandalia na mkeka wao 😄