tunatafuta kazi na wengine wanategemea kunufaika na sisi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tunatafuta kazi na wengine wanategemea kunufaika na sisi....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by by default, Jul 10, 2012.

 1. by default

  by default JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jiulize kama utakoswa wewe kuna ndugu zako wataingia katika uhu mtego wakati wa kutafuta ajira kila mewzi kama watafanikiwa kukamata wazembe wa kufikiria 50*25000=watavuna 1,250,000 .....hawa wanaojiita tcra wanafanya nini nchi DHAIFU VIONGOZI DHAIFU 0762642179

  Dear prospective employee, I’m glad to inform you that you have been
  selected to join Global Informatics and Engineering Inc, for the
  position mentioned above. For this reason you are required to carry
  with you the following during the familiarization between you and our
  company which will hold at ICCS hall opposite to “Chuo cha Bima”
  Mikocheni area, Dar Es Salaam, on July 9, 2012 from 9:00pm to 4:00pm.
  1. Original birth certificate
  2. Academic transcript and certificates(Provisional statements of
  results must be validated by registered lawyer)
  3. Two recent photos(2 by 2 with white background)
  4. Valid passport if you are not the citizen of Tanzania
  5. You are required to pay 25,000(Tanzania Shillings) nonrefundable
  payable through M-Pesa number 0762642179, the amount is a contribution
  towards transport cost, workshop to be held at Nairobi after verifying
  the documents listed above on which the company will contribute
  100,000(TZs. Please pay before July 6, 2012 and inform us through the
  same number.
  N.B: Our company bus will pick you at Ubungo bus terminal, near BP
  petrol station on July 6, 2012 at 7:00am.
  Sincerely, Mr. Fanuel G. Jeremia
  (GIE Inc)Director, East and Central Africa


  hawa jamaa ni bonge la mang'aaaaa wanajinga sana hawa inatakiwa tuwe na ushirikiano tukiwakamata tunawasukumia mavijiti katika matungu yao ya nyuma
  pambaf zenu useless gay

  The indicated date for certificate verification will be on 9th July,
  2012 from 9:00a.m to 4.00pm and not 9.00p.m as was indicated. Sorry
  for any inconvenience
  Sincerely Fanuel Jeremia From GIE
  N.B If you know "Chuo cha Bima" and you are the resident of Dar es
  Salaam you can come direct to Mikocheni Chuo cha Bima on Monday July
  9, 2012 instead of waiting our representatives at Ubungo Bus terminal
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  wajinga ndio waliwao,awa matapeli wamekuwa kero sana,watanzania wengi wanatapeliwa kwa kukosa maarifa,mtu anatafuta kazi ili apate kipato cha kumsaidia,badala yake anaambiwa atoe pesa kwanza
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Yaani hawa wakishakusanya pesa zao, siku hiyo hawataonekana. Aidha, huenda hata hawako Dar es Salaam.
   
 4. s

  suli Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hao wanaenda na slogan ileile "tumia umaskini\shida za watu kupata neema "a wanankumbusha babu wa loliondo aisee.
   
 5. M

  Mudamali Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hawa jamaa inawezekana hawapo Dar. na inawezekana na zile nafasi za Bukombe walitoa hawa hawa na walidai wapo SHINYANGA.
   
Loading...