Nasubiria kwa hamu kubwa king'amuzi cha continetal, naomba mwenye uelewa kuhusiana na king'amuzi hicho na je mbeya kinafika lini na je knaweza kufika Rungwe hadi kyela? malipo yake yapoje na chanel zake ni zip? sababu Startime kyela hawafiki kabsa.

kaka karibu miezi4 sasa continental tunaipata kwa kutumia dish ktk satelite ya amos4 17 degree west.freq hizi hapa 11137 v 30000.hulipii chochote.angalizo ni receiver za mpg4 tu
Sijajua vizuri bei zao ila ina gonga 200,000/- cha dish maana najua huko antenna hawajafika.
channel za bure zipo ila magumashi malipo ya mwezi yakiisha wanakata zamani ilikua bure kabisa channel zote.
ungepata azam nao pia malipo ya mwezi yakiisha channel za nyumbani pia wanaondoa.
naona azam ni afadhali kidogo service ipo consistence