Tunasubiri kuona Russia itachukua hatua gani baada ya Ujerumani kutangaza kupeleka silaha nchini Ukraine...

prumpeti

JF-Expert Member
Feb 28, 2022
1,021
2,279
Shehena ya makombora 1500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani.

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema vifaa zaidi vya makombora ya Strela vilikuwa vinakwenda Ukraine kufwatia kuchelewesha kwa uwasilishaji.

Uvamizi wa Russia nchini Ukraine umefanya Ujerumani kubatilisha sera yake ya kihistoria ya kutopeleka silaha katika maeneo yenye mizozo.

Sisi ni mmoja wa wa wasambazaji wakubwa wa silaha katika hali hii,hatufanyi tujivunie lakini ni kile tunachopaswa kufanya ili kuisaidia Ukraine..Alisema
 
Nahisi hii vita ndipo inaanza nilidhani inaisha ila inaelekea ndo kwanza mambo yameanza kunoga
 
Shehena ya makombora 1500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani.

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema vifaa zaidi vya makombora ya Strela vilikuwa vinakwenda Ukraine kufwatia kuchelewesha kwa uwasilishaji.

Uvamizi wa Russia nchini Ukraine umefanya Ujerumani kubatilisha sera yake ya kihistoria ya kutopeleka silaha katika maeneo yenye mizozo.

Sisi ni mmoja wa wa wasambazaji wakubwa wa silaha katika hali hii,hatufanyi tujivunie lakini ni kile tunachopaswa kufanya ili kuisaidia Ukraine..Alisema
Ukizingatia Ukraine ipo kwenye Nato, na members wengine wa nato hawajapeleka wanajeshi,( bali silaha tuu) ni kama hawajamsaidia inavyotakiwa. (Ujerumani bado inachukua gas na mafuta kutoka Ukraine. Ni kama wanaogopana kiaina
 
Mapaka ya Afrika😁😁😁
16462096559180.jpg
 
Ukizingatia Ukraine ipo kwenye Nato, na members wengine wa nato hawajapeleka wanajeshi,( bali silaha tuu) ni kama hawajamsaidia inavyotakiwa. (Ujerumani bado inachukua gas na mafuta kutoka Ukraine. Ni kama wanaogopana kiaina
Ukraine haipo NATO.

Chanzo cha vita ni Ukraine kutaka kujiunga NATO ila Urusi hataki Ukraine ajiunge NATO. Hii vita ikiwa inaendelea Rais wa Ukraine anafanya lobbying ili akubaliwe kujiunga NATO.
 
Ukraine kuto jiunga NATO ni takwa la pili la kwanza ni Ukraine ayatambue majimbo mawili yaliyo jitenga kama maeneo huru..
 
Umechelewa kujua tu, Germany imeshapeleka silaha Ukraine Mara kibao tu na inafahamika.
Screenshot_20220324-092242.jpg
 
Huyo putin wanamlia tu timing atakuja kushtuka USA ,nato ,Germany,uingereza ,wameshatua chumbani kwake.....
Saivi akilala akitembea anawaza nuclear yani anaweza kurupuka muda wowote kama mwendawazimu....
 
Ukizingatia Ukraine ipo kwenye Nato, na members wengine wa nato hawajapeleka wanajeshi,( bali silaha tuu) ni kama hawajamsaidia inavyotakiwa. (Ujerumani bado inachukua gas na mafuta kutoka Ukraine. Ni kama wanaogopana kiaina

Pardon it. Ukrain sio NATO member
 
Hatua zaidi atachukua pale taifa lolote litakapothubutu kupela majeshi yake moja kwa moja vitani na si silaha,na hapo ndipo tutashuhudia PUTIN akitumia makombora ya nyuklia na mzee wa kiduku (korea kaskazini) akiipiga dunia
 
Ukizingatia Ukraine ipo kwenye Nato, na members wengine wa nato hawajapeleka wanajeshi,( bali silaha tuu) ni kama hawajamsaidia inavyotakiwa. (Ujerumani bado inachukua gas na mafuta kutoka Ukraine. Ni kama wanaogopana kiaina
Ukraine ipo NATO toka lini?
Au unaongelea UKRAINE YA GAMBOSI
 
Back
Top Bottom