Wanabodi,
Baada ya JK kuwapiga chini mawaziri waliofanya madudu naamini itafuatia piga chini ya makatibu wakuu wizara za madudu!.
Baada ya kuwapiga chini makatibu wakuu, ndipo watafuatia ama kuzivunja baadhi ya bodi na kuwapiga chini Wakurugenzi wakuu akiwemo wa Bandari na wa TBS!.
Kwa vile behind madudu hayo the men behind ndio wenye nchi waliomfikisha JK hapo alipo! na kuna hisia wengine waliyafanya hayo on behalf!.
Swali ni Jee, this time around, JK atakuwa na guts za kulikata tawi alilokalia?.
Pasco.