kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Habari Mabibi na Mabwana?
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa, leo ni siku muhimu sana ya kufurushwa na Timu ya Taifa ya Algeria.
Siku ya leo nasema bila kumung'unya maneno wala meno, tunastahili kipigo cha kuchakaa ili iwe fundisho na heshima.
Nasema hivi kwasababu kuu moja, Wadau wa Soka hawaja tendea Soka HAKI katika Taifa ili zaidi ya Matumbo yao.
Kuna Mtu aliitwa Katalala kijana wa Kitanzania kutoka Katavi, aliamka saa tisa usiku kufanya mazoezi alilipenda Soka na Soka lilimpenda.
Nasema hivi kwasababu alikuwa ni kizazi cha kina JJ Okocha, Ronaldo DE Rima na wengine wengi kama Taribo West hakika Katalala alikuwa na kipaji licha ya kuupenda Mpira.
Kama Viongozi wa Soka wangetendea HAKI soka naimani Katalala leo angekuwa Isparation Tanzania na Katavi yote kwa namna moja au nyingine.
Katalala au Katabaro alikuwa na mbio sana, nguvu sana, Skills za kutosha na hata Soka lilimpenda kiasi kwamba akishika Mpira Mpanda yote inasimama kwa kumshangilia.
Leo hii Katalala hana uwakika wa kura, hakuna Mwana saikolojia wa kumjenga kaisha kuwa Chizi anajivutia Bangwe muda wote hana namna tena kakwama kisa Soka kuwa na Ubinafsi na kujuana pamoja na U Yanga na U Simba.
Viongozi mliopo kwenye Soka naomba muweke U Tanzania mbele kama Mh Rais wetu anavyo weka Usawa kwa wote.
Baada ya kipigo kitakatifu cha leo kutoka Algeria iwe muda muafaka wa kuwekeza kiakili na kinyenzo ili tupate vijana wengi wenye tija wasije kuishia kama walivyo ishia kina Katalala au Katabaro.
One love.