Twende na Lissu. I support Lissu mpaka mwisho.
Kuja haitoshi. Bila Katiba mpya hakuna uchaguzi mkuu.Haya Katiba mpya inakuja!
Vyama vitakuwa 38 uchaguzi upo!Kuja haitoshi. Bila Katiba mpya hakuna uchaguzi mkuu.
Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?
Mambuzi na walamba asali kokote waliko na wasikie, loud and clear.
Habari ndiyo hiyo.
Ndio mtu pekee mwenye uwezo na uzalendoAmekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu:
Lissu: Maridhiano pekee ni Katiba
Hizi ndiyo kauli za watu sasa tulizokuwa tumezikosa mno.
Tumesema sana na tuko tayari.
Nisiwachoshe na wala tusichoshane:
Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?
Kwamba:
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Tundu Antipas Lissu, ulipo tupo:
1. Uchaguzi huru, wazi na haki ndani ya CDM ndiyo njia ya kwenda.
2. Kama #1 hapo juu haiwezekani hata FORD ilizaa FORD Kenya na Ford Asili. Jahazi likasonga.
Aluta Continua!
Umechagua uamzi sahihiTwende na Lissu. I support Lissu mpaka mwisho.
Huijui chadema wewe, subiri kina Molemo wakushukie.1. Uchaguzi huru, wazi na haki ndani ya CDM ndiyo njia ya kwenda.
2. Kama #1 hapo juu haiwezekani hata FORD ilizaa FORD Kenya na Ford Asili. Jahazi likasonga.
Aluta Continua!
Tupo maombolezo siku ya piliAmekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu:
Lissu: Maridhiano pekee ni Katiba
Hizi ndiyo kauli za watu sasa tulizokuwa tumezikosa mno.
Tumesema sana na tuko tayari.
Nisiwachoshe na wala tusichoshane:
Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?
Kwamba:
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Tundu Antipas Lissu, ulipo tupo:
1. Uchaguzi huru, wazi na haki ndani ya CDM ndiyo njia ya kwenda.
2. Kama #1 hapo juu haiwezekani hata FORD ilizaa FORD Kenya na Ford Asili. Jahazi likasonga.
Aluta Continua!
Unatetea Uchafuzi? huoni aibu?uchaguzi
Tupo maombolezo siku ya pili