E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,313 Jul 20, 2018 Thread starter #21 sab said: Mnawapeleka wapi hao mbwa jamaaa? Maana isije kuwa chanzo cha mishkaki jioni Click to expand... Kuwatunza kuwafundisha na kuwauza
sab said: Mnawapeleka wapi hao mbwa jamaaa? Maana isije kuwa chanzo cha mishkaki jioni Click to expand... Kuwatunza kuwafundisha na kuwauza
leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,441 Reaction score 1,853 Jul 20, 2018 #22 Wasije kuwa vitoweo
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,744 Reaction score 4,354 Jul 20, 2018 #23 eddy said: Kuwatunza kuwafundisha na kuwauza Click to expand... Mbwa mzee anafundishika? Nani atanunua mbwa mzee kwa ajili ya ulinzi na sio mbwa mtoto? Soko lenu la kuwauzia lipo wapi ?
eddy said: Kuwatunza kuwafundisha na kuwauza Click to expand... Mbwa mzee anafundishika? Nani atanunua mbwa mzee kwa ajili ya ulinzi na sio mbwa mtoto? Soko lenu la kuwauzia lipo wapi ?
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,313 Jul 20, 2018 Thread starter #24 Mbwa wazee tunawatumia kwa utafiti wa chakula cha mbwa tunayo endelea nayo. Pia wanatumika kwa walinzi wetu malindoni
Mbwa wazee tunawatumia kwa utafiti wa chakula cha mbwa tunayo endelea nayo. Pia wanatumika kwa walinzi wetu malindoni
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,835 Reaction score 4,152 Jul 20, 2018 #25 Elli said: Hahaha Kwa Wachina Labda au Iringa Click to expand... Iringa!
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,674 Jul 20, 2018 #26 Mr. Bigman said: Dah! Supu ya mbwa? Umeniharibia siku yangu tayari, Maana nishaugua kichefuchefu Click to expand... Pole sana mkuu......
Mr. Bigman said: Dah! Supu ya mbwa? Umeniharibia siku yangu tayari, Maana nishaugua kichefuchefu Click to expand... Pole sana mkuu......