relocate to safe areaMkiwachukua mnawapeleka wapi?
Wapi?relocate to safe area
Hahaha Kwa Wachina Labda au IringaMkiwachukua mnawapeleka wapi?
Hahaha...hiyo Avatar yako na hiyo comment.. dah!sio mnaenda kuwapa kipigo cha mbwa koko?ππππ
ππhatari mkuuHahaha...hiyo Avatar yako na hiyo comment.. dah!
Hapana tutawatunza na wakurudia afya yao tuna watrain kwa kazi mbalimbali na kuwauza tenaww kwani ni muuza mishikaki?
Mbwa wanaoliwa sio hawa koko wakwetuSupu ya m'mbwa ni tamu sana...ila iwe ya moto.
Hatuna sababu ya kuwadhuru. Wapo wanao waondoa majumbani kikatili ikiwemo kuwatumbukiza chooni kuwapiga risasi na kuwanyonga au kuwapa sumu sio njia nzuri na inaweza acha picha mbaya kwa wanafamilia wakosio mnaenda kuwapa kipigo cha mbwa koko?ππππ
Dah! Supu ya mbwa? Umeniharibia siku yangu tayari, Maana nishaugua kichefuchefuSupu ya m'mbwa ni tamu sana...ila iwe ya moto.
Hapana tutawatunza na wakurudia afya yao tuna watrain kwa kazi mbalimbali na kuwauza tena
Hapana sie unatuita tunakuja kumchukua kwa makabidhiano na tuna vifaa bya kumkamata na kumbebanyie ndo mnae yule anaetafutwa na mvaa bendera na mtembea na ilani?