Tunasambaza body spray za aina zote

Tunasambaza body spray za aina zote

dankamote

Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
47
Reaction score
4
Tunapatikana kunduchi line police
Namba0627927909
Nikwajumla tu
Ni kwa Tsh 4000 tu unaletewa mahali ulipo
 
4000 ni gharama ya body spray au ni gharama ya usafiri? Weka Aina za Spray unazouza.
 
4000 ni gharama ya body spray au ni gharama ya usafiri? Weka Aina za Spray unazouza.
Ww unanitajia aina then tunafanya biashara .usafiri inategemea na umbali ila utachangia elfu 10000 tu au unaweza kuangalia uwezekano wakuzifuata kunduchi Dar es salaaam
 
Nimeona Kwa mtu ni spray fulani kwenye cap yanabaki ma liquid inaitwa Dolph
 
Hakuna galama za kusafilishia???? Na aina gani unazo????? Boldy most preferable
Ghalama ya usafiri ni tsh 10000 tu.
Aina unazotaka ww kwa body spray nyingi na pendwa ni tsh 6000 rejareja na tsh 4000 kwa jumla
 
Ghalama ya usafiri ni tsh 10000 tu.
Aina unazotaka ww kwa body spray nyingi na pendwa ni tsh 6000 rejareja na tsh 4000 kwa jumla
Naweza kuzifata pia c ndio niokoe elfu kumi hiyo........ Kuanzia ngapi nachukua???
 
Picha ya sample!naitaji.
4564da7590a45be2309e81bc989b81c0.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom