Tunaprint t-shirt kwa bei na fuu karibuni.

mnoko mmoko

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari wana jf.... Mimi ni kijana mwenzenu mwenye taaruma ya kuprint t-shirt cap na mabango pia tume base kwenye utengenezaji mzuri wa LOGO kwa ajiri ya mavazi textile art&logo tunawakaribisha taasisi mbali mbali kwenye huduma zetu.
Tupo tabata.

0713935738
Karibuni wadau wa ma office mashule vyuo na taasisi mbali mbali punguzo lipo.

Asanteni waungwana
 
Wanaofanya kazi kama hizi ni wengi sana weweunakuja na taarifa nusu2 tukueleweje ....funguka kijana taja TABATA WAPI,NADI BEI ZAKO ,UMEPATA FURSA HII ITUMIE UNATAKATUTUMIE HELA ZETU TUKUPIGIE ILHALI UNA FURSA YA KUFANYA HIVYO
 
Ok ni hivi cost zetu zinategea wewe mahitaji yako ila tunabei nafuu sana pia tunauwezo wa kudizain bitu kama kanga na vitenge kwa ajiri ya shughuli maalumu.

Email. Jahimmbangwa@gmail.com karibu au ni pm uniambie bizaa zako na mahitaji yako ili tujue sisi tunafanyaje ndio tukupe coast.

Asante na karibu bro. Tupo tabata shule.
 
Kuprint T shirt nako kumekuwa taaluma...
 
Back
Top Bottom