Tunapokea Kalenda za mwaka 2015

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau habari zenu?

Tuna karibisha watu wenye makampuni/taasisi wanaopenda kutangza biashara zao kupitia kalenda zao,kuwa tunapokea kalenda za mwaka 2015 kwa ajili ya kudisplay katika hoteli zetu zilizopo Arusha.

Hoteli zetu ni Penguin Resort Hotel Arusha Tanzania
na Rena Lodge & Hostel | Feel at Home

Sisi tutakusaidia kukusambazia kwa wageni wetu wote walalapo hotelini kwetu bila malipo,kinachotakiwa ni wewe kuleta kalenda zako mapema.

Mawasiliano: 0752489529

Karibuni wote mpate huduma zetu za malazi,chakula na vinywaji kwa bei nafuu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…