Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,276
- 133,531
leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari, hivyo leo ni siku yetu.Asante kutukumbusha!, kumbe siku yetu leo!. Wengine tulishaisahau siku nyingi tangu tulipoacha rasmi kazi za newsroom!.
Thanks.
Pasco.
Mwandishi wa habari wa enzi hizo.
Kwa sasa, anaandika kwa kujitegemea na kujitolea bila kulipwa, hivyo huandika chochote, na kukipeleka chombo chochote cha habari bure kabisa, na hicho chombo kinakuwa huru kutumia au kutokutumia habari/makala zangu.
Pasco.
P