Tunapo wachoka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunapo wachoka!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 20, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!

  Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:
   
 2. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  PHP:
  [quote="KakaKiiza, post: 1092178"]Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!

  Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:[/QUOTE]
  [
  HTML][/HTML]
   
  Unasema hasa wanawake kwa sababu wewe ni mwanaumewanaume ndio wamezidi kwani sometimes badala ya kukuambia tu hakutaki utakuta unampigia simu anampa demu wake mpya apokee hiyo nayo imekaa sawa?
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 4. T

  Tall JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.INATEGEMEA UNAETAKA KUMFUNGIA OFISI YA UBALOZI(UHUSIANO) ANAKUPENDA KIASI GANI.....WAWEZA POTEZA MENO YOTE KWA KUVUNJA PENZI GHAFLA.
  2.WENGINE AKIPENDA KAPENDA...KUMTOA MTU KAMA HUYO YATAKIWA KAZI NZITO.
  3.WAPO WANAOACHA KISAILENSA(KIMYA KIMYA) ILI SIKU ZIJAZO AWEZE KU RE NEW (KURUDIANA NA WAKE)
  4. UBABE NA HASIRA HUSABABISHA KUACHANA POLEPOLE.
  5.Aaaaaah,ukweli ni kuwa penzi JIPYA la upande mmoja likizidi unasahau hata kusema KWAHERI kule kwa zamani.

  HATA HIVYO NASHAURI KUWEPO NA USTAARABU UNAPOAMUA KUMUACHA MTU.....NILIKUWEPO.
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kula tano babaake nimekugongea na thanks mkuu
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  KaKaKiiza vipi yamekukuta ndugu yangu?
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Usidanganyike eti dunia ni duara Dunia inakona nyingi acha tu!!Na wanaoizunguka nakujikuta wametokea walipoanzia hawajui kimsingi huwa wamepotea kwenye hizo kona kwakuwa dunia nindefu!:confused2:
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni kweli unapoanzia ndio hapo hapo unapokuja kurudia kwa kuwa unapokuwa unaenda haujui kimsingi nini kilichopo mbele yako au ni kitu gani ambacho unachokiona.
   
 9. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maisha ndivyo yalivyo. Ukibaini hayo anza mbele tafuta mwingine. Mapenzi ni relative. Pahala popote utakapoishi utamkuta mzuri na mnaweza kuanza mapenzi. Dunia ya leo ni pana na wigo umepanuka sana. Kwa hiyo nakushauri upanue upeo wako kuhusu mapenzi na uangalie mbali sana. God bless.
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  duu mbona i topic imenichungulia kwa muda u?
  stak mie
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Rose1980 kuwa jasiri na kusema kinachokukwaza au kilichowahikukuta
   
 12. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Akufukuzaye akwambii toka utaona mambo yanabadilika!!
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  we finest wewe!!!!!!!
  acha uchokozi.......
  chichemi mie............dunia makarabashi
  mi natenda tu maisha yanaendelea bt wat i dnt want is to slip in darkheart just bcz of man..cz mamangu alinambia mara tu nilipozaliwa nilitabasamu so natakka nifanye kicheko maisha yangu!!!!!!1
  so nkisikia mtu anaumia km iv naona dahhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
  ni ayo tu finest....umeridhika baba? hpfull yeeeeeeeeeeeees!!!!!!!
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
   
 15. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kitu nilichojifunza katika mahusiano na hasa kwa sisi waswahili ni kuwa wengi wetu hatupendi kukubali ukweli na hasa kwa wale wachace wanaoweza kuwatamkia wenza wao kuwa wamewachoka/hawawapendi tena. Sasa sijui ni mazoea au kitu gani? Jamaa yangu demu wake alimwambia anaomba uhusiano wao uishe kwani hajisikii kuwa na yeye tena. Ni miezi 3 sasa jamaa hataki kukubali eti haiwezekani.....mh!! na ndio maana mtu huamua tu kufanya vituko ili mambo yaishe..
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Rose1980 kuna kupanda milima na kushuka sasa wewe unataka uwe una shuka tuu, najua ombi lako la kutaka kuwa na furaha siku zote za maisha yako especially kwenye mapenzi ungetaka litimizwe ila katika dunia hii ambayo pia mimi napitia ni kumuomba sana Mungu akubariki maana kama ni machungu basi ni mengi tu niliyokutana nayo na bado naendelea kusonga mbele, najua nilipokuchokoza pana ukweli ndani yake:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  truth hurts
   
 18. m

  mashamsham New Member

  #18
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sajenti we ndo mwezango umesema kweli, sijuwi huwa tunaona aibu au ndo tabia zetu kutesana kwani mtu anashindiwa nini kusema mi nawee basi. ata kama unahisi utamumiza mwenzio lakani utamsaidia sana ukimwambia ukweli ata kama ukweli unauma lakini ndo imeshakuwa yanini kumzingua zingua
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbaya zaidi mtu unampa chance ya kumwuliza kama amekuchoka akuambie utakuta mtu anang'ang'ania kudanganya bado anakupenda wakati moyoni haupo.
  Ila kwa kusema kweli kumwambia mtu ambaye unajua bado anakupenda kuwa humpendi tena kunahitaji ujasiri wa hali ya juu. Hata mimi nadhani sitaweza, ingawa ningependa mtu akinichoka aniambie ili nisije nikawa kero kwake. maana mtu ukimchoka, hata akikupigia kukusalimu unaona kero
   
 20. K

  KGB Member

  #20
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani Jamani Hay mambo huwa yana umiza sana,
  Mimi Hii Imenitokea Live.. na Imenitokea wiki mbili kabla ya kufunga ndoa, siku Tano baadae ndo mtu ananimbia hanitaki na ana jamaa mwingine.Why people don say truth and they Lie?
   
Loading...