Sisiyemu akili zao zinafikiria Watanganyika wanataka burudani...
Watanganyika walishatoka kwenye comfort zone siku nyingi. Tuko mstari wa mbele wa mapambano
Lissu hawezi sahauliwa kwa starehe za jiji kipepe! 😁
Jiji hilo labda kama wewe mgeni! Hilo jiji halipoi, haliboi. Starehe zipo tuu, na hazijaanza leo. Madai ya msingi yapo tuu Kipepe. Hata aje Jay-Z, bado tutahitaji katiba mpya na Reforms. 😊