Tunapendekeza hii kwenye barabara zetu

Tunapendekeza hii kwenye barabara zetu

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1418413234022.jpg
 
Wakiweka hii najiuzulu kua matanzania
Watoto wetu wa huku uswaz cku mbili tuuu
 
Khekhekheeee watoto hawataenda shule wataishia vituo vya mabasi
 
Duh hiyo labda tumpate mwalimu mwingine,ila kwa hivi vichwamaji vilivyopo sasa tujisahaulishe tu hyo kitu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mie naona mradi wa DART ( Basi za mwendo wa kasi) utageuka kuwa pembea za watoto kesho !!
 
Watoto watawekeana zamu na wanaosubiri pamoja na waliomaliza zamu zao watakuwa wanasukuma kwa nyuma likirudi wanasukuma tena
 
Wataweka leo kesho asubuhi hazipo zimekatwa usiku
 
Back
Top Bottom