sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
Tatizo kubwa nnaloliona vijana wengi huwa wanadhani Ndoa its all about tendo la ndoa na kusahau kuwa kuna majukumu mengine mengi yanayoifanya ndoa iende mbele..wengi wanaofikiria ndoa huwa wanaishia kwenye kuwazia tendo la ndoa na ndo maana baada ya siku chache wakishazoeana its over...they dont think another life more than tht..sana saana mtu akijitahidi utakuta anafiria kama nna kazi basi...Ndoa its a lot more than that..