Tunapata reli ya SGR lakini cha moto tunakiona

Tunapata reli ya SGR lakini cha moto tunakiona

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1117118



Maendeleo hayana chama
 
Jamani, hivi hicho kijiji si kina wananchi wenye nguvu ya kujenga madarasa bora kwa ajili ya watoto wao? Hata kamani kwa miti , mawe na nyasi lakini wakijenga kwa umakini na ustadi hapawezi kujaa maji, huu ni uzembe wa wazazi! Serikali haiwezi kufanya kila kitu.
 
Nchi ya wanyonge hii
Nataka wananchi wangu muishi kwa laha.
Kweri kabisa sasa hivi kila mtu anasikia laha jinsi uchumi wetu unavyokua kwa spidi ya standadigeji.
 
Jamani, hivi hicho kijiji si kina wananchi wenye nguvu ya kujenga madarasa bora kwa ajili ya watoto wao? Hata kamani kwa miti , mawe na nyasi lakini wakijenga kwa umakini na ustadi hapawezi kujaa maji, huu ni uzembe wa wazazi! Serikali haiwezi kufanya kila kitu.
Korosho za wazazi wao zanaozea ghalani
 
Itabid ufikirie wakat mwingine.
Kwa kuangalia hii nchi ilianza kuharibiwa toka lini.Reli ya sgr haikusababisha haya unatakiwa ufaham hii.nchi imetoka ktk shimo moja,matata na hauwex irekebisha ghafla bin vuu itakua uongo.
Inahitaji muda bcuz tulikua hatuna uchumi uliosimama bora huyu jamaa aongeze mirad ili pato la taifa liongezeke ili kuboresha zaid huduma za kijamii maana mpk hp kajitahid vya kutosha
 
Shule gani hio? TL akiwa Rais hayo hayatakuwepo.
 
Kwanza Tanzania ni nchi kubwa kieneo, pili Tanzania hatukusaidiwa kujengewa viwanda na mashirika na hao mabeberu kama walivyosaidiwa nchi jirani, tatu tuliingia vita na Uganda ilitugharimu sana sidhani kama madeni ya silaha yalishaisha.

Kwa hiyo Serikali ya awamu hii imejitahidi na bado inajitahidi kuiinua nchi yetu, kwa hiyo suala la kua na shule kama hizo tusishangae litamalizika taratibu.
 
Serikali ya mkoa,wilaya,mbunge,diwani, wazazi (wananchi) wako wapi? Kama wanaisubiri Serikali kuu basi wana matatizo.
 
Mengine wazazi wawe wanajitoa kujenga shule.
Mbona huko kwetu mkoa wa Kilimanjaro kuna time wanafanya kitu inaitwa "MSARAGAMBO"
 
Back
Top Bottom