Duuh! Pole sana binamu basi usijibu tu ila ukumbuke kutuletea zawadi sasa.Binamu jamani na wewe nashindwa hata la kujibu my dear maswali yako yanakuwaga mazito mpaka basi mwaya.
ππ€©ππ€©ππ
Lunch time hii Shadeeya ujue
Ushaenda kwani Ses au nije? πLunch time hii Shadeeya ujue
Nakusubiria twendeUshaenda kwani Ses au nije? π
Naja Baba twende. πππNakusubiria twende
Na hilo gauni la rangi nyekundu umependezaje, rangi ya njano sio kabisa mamiiNaja Baba twende. πππ
Nakusubiria uje twende mpenziUshaenda kwani Ses au nije? π
Hahahaaa! LolNa
Na hilo gauni la rangi nyekundu umependezaje, rangi ya njano sio kabisa mamii
ππππNakusubiria uje twende mpenzi
Ungejua jinsi ulivofanania kua shabiki wa Lunyasi basi tu najiuliza ilikuaje ukapotea njia....haya uwahi kuja njaa inauna sanaπππHahahaaa! Lol
πππππππ
Sijapotea njia bana. ππ Naja naja ππUngejua jinsi ulivofanania kua shabiki wa Lunyasi basi tu najiuliza ilikuaje ukapotea njia....haya uwahi kuja njaa inauna sanaπππ
Hahahahaaaa njoo tutaongea huwezi jua watu hubadili gea anganiSijapotea njia bana. ππ Naja naja ππ