Tunaotumia line za m pesa na majina sio yetu nazo zitazimwa?

nilienda voda kusajili line ya uwakala,matokeo yake line imesajili na Nida vyema..

Shida Mpesa hai-respond tena..hata ukiuliza salio ni holaa...zile commission niaje?

ama kufa kufaana

Voda nawauliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom