Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini


Mkuu mbona unapanick akati we ndo umeazisha uzi usio na nyama za kuzid hali inayopelekea walengwa kuto kuelewa viZuri nini umemaanisha???

By the way......Ahsante kwa tittle nzur
 
Watu wanaboa sana kitu kama mtu hajaelewa bora akauliza kiuungwana lakini anakutolea maneno ya shombo kwani mtu akipata kazi au akikosa Mimi napata faida gani

upo sahihi habiby hiki kizazi chetu pasua kichwa sana lamuhimu hakikisha mtu akutoi kwenye furaha yako, just be happy mi love, mi nimekuelewa saaana.
 
Mkuu mbona unapanick akati we ndo umeazisha uzi usio na nyama za kuzid hali inayopelekea walengwa kuto kuelewa viZuri nini umemaanisha???

By the way......Ahsante kwa tittle nzur
Sasa hapo kama hujaelewa ndo unauliza wapi hujaelewa nakufahamisha sasa watu mpaka wananitusi kosa langu kubwa nini hapo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…