Rose piere
Member
- Feb 13, 2017
- 19
- 12
Ndugu zangu natumaini wote ni wazima, kuna kitu nimekigundua wengi wetu tukiona tangazo la kazi hatuwi makini kuangalia mwishoni kwenye vitu vinavyohitajika kuambatanishwa na maombi ni vitu gani tumebaki kukariri tu CV vyeti na barua.
Niliwahi kutuma uzi wangu hapa wa kutafuta kazi kama secretary bahati nzuri nilifanikiwa kupata sehemu sasa bahati nzuri hiyo sehemu wametangaza nafasi za kazi mambo ninayokutana nayo kwenye hizo bahasha nabaki nashagaa.
Kikubwa hapa nawaomba jamani tufuate maelekezo mwisho wa siku unabaki kuona watu wanapendelea unalalamika kwanini huitwi kwa short list tuwe makini.