Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Serious ?Wahi benki ukachukue tayari
Usijali tutagawana kidogo hichohichousijali utapewa tu taarifa kwa wenzio wenye fungu la wisho wa mwezi sisi wengine hata hatujui huwa inakuaje kuwa kwenye mshahara.
Masaa machache tu kitaelewekaDah! Huo mshahara ukitokaa, utachakaa siku hiyo hiyo.
Only November au November, December na January unadai?Ah! Mi hapa nadai mshahara wa november bado cjalipwa dar so sad
Huyo boss mbona mtata hivyoNovember only december hatukufanya kaz ilikuwa mapumzko january mi nkagoma kufanya kaz nataka nilipwe kwanza sasa kaamua kuniblock kabsa
Huu mwezi inaonyesha watu wako vizuri mfukoni maana wako kimyaAny updates
5/5
Ngoja nikimbilie mahali
Nimecheki through simbanking kangu crdb bilabila
Ah! Mi hapa nadai mshahara wa november bado cjalipwa dar so sad