Asante kwa maneno yako ya faraja
Hata mm nahisi sio yeye japo hizi tabia zake ni za muda mrefu na naona ni muendelezo
Mm kwasasa naishi mbali nae kabisa kuepusha vitu vingi baina yetu
Naona afadhali nilale njaa hata kwenye mateso ila sio kukaa nae pamoja maana hana maneno mazuri juu yangu kila kitu mm ni mbaya
Maneno makali tena makali haswa nishaambiwa ila nashukuru Mungu hadi leo hamna kibaya kilichonipata
September aliniomba laki4 nikampa mwezi huo huo akaniomba nauli aende mkoa x nikamwambia sina hela mimi mwenyewe nataka kusafiri kupeleka hii mizigo yangu
Akanambia kama mm nilikutoa kwenye uchi wangu huu hautafanikiwa nakuomba nauli unaninyima?? Wakati hapo nilimpa laki4 cash
Hapo napoenda kuna kula, bili za umeme bado nauli za kuzungushia vitu, kodi nimechanga na mwenzangu tukalipa ya mwaka mmoja
Maajabu nimefika vitu havikuchukua hata mwezi vikaisha na bado order ikawa kubwa ikabidi nirudi dar kufunga mzigo
Sawa nitafanyia kazi hilo
Nimefikiria kuwashirikisha watu wazima ila nimeona sio sawa
Kama unaulizwa vitu huoni mantiki tayari nimeshajua tatzo lipo wapi.Kabila na dini sioni mantiki yake hapa
Nimesomea diploma in procurement and supply management
Nimemaanisha pesa ambayo unatakiwa kununua mzigo usimpe. Pia angalia usimpe faida yote ukabaki huna kitu ukashindwa kuendeleza maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani iwe rahisi hivyo ila najikuta nashindwa
Naweza nikafight nikapata hela kiasi hapo hapo unakuta ananiomba atatuma msg siku nzima na kupiga simu juu
Unajua tena linapokuja suala la mamaYaani huyu dada ana shida kweli, kila mtu anamwambia usimpe hela, yeye anakomaa atatoa hiyo hiyo ya biashara.
Yaani ye hajioni siku akiishiwa au hata akiumwa huyo mama hatakuwa na mda naye,
Anakuwa desperate kubembelezea kukubalika, Embu mwambie vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako unamdekeza sana mama hebu usimtafute kama miezi 3 na usimpe msaada wa aina yoyote ile. Utanishukuru baadae ukifanya hiviMimi siwezi kuongea maana nina hasira sana na kulia
Pia ukimwambia ukweli anasema unadharau kiburi unajiona umepata
Watu hupata matatizo na kukimbilia wazazi wao haya we jifanye unajua
Hapo kisa nilimwambia hayo marejesho humalizi? Maana kila siku marejesho na kwa wiki anapeleka 62
Inaonyesha bado aya ya mwisho ya huo ushauri hujaishika vzr.
Kataa Kwa maneno na vitendo. Fanya tu vile unaona umeweza, kama ana shida saidia kwenye faida, tena kama utaona inafaa, vinginevyo chinjia baharini Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu watawacheka tuu, wengi ndo wanavyopenda, hawataki muwe na upendo na ushirikiano, pia utawapa Tu vitu vya kuzungumzia wakishiba maharage.
Hilo lipo chini ya uwezo wako. We kanyaga tuuu.
Yaani huyo hatakusaidia hata ufenyeje Hadi atakapopata shida kubwa yeye, siyo wewe, so Linda Sana vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako unamdekeza sana mama hebu usimtafute kama miezi 3 na usimpe msaada wa aina yoyote ile. Utanishukuru baadae ukifanya hivi
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
pole sana pisi kali
mm naomba kujua umechukua ushauri gani kati ya zote hizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana, without any disrespect, mara nyingi watu wa mwambao wa pwani huwa na tabia Kama hizi( kuto kuappreciate and being ungrateful) na maneno ya karaha ingawa siyo wote.
Mama ni Mama na Mama au baba ni mmj tu duniani, no matter the situation you should keep on respecting her. Isije ikatokea ukamdharau hata siku moja, achana na ushauri wa watu wanaokwambia mpotezee etc, experience ya mwingine ni tofauti na ya kwako, kilichofaulu kwa mwingine kinaweza fail kwako. Jua ya kuwa hauko peke yako ktk shida hizo Kuna wengi wanapitia hali km hiyo na pengine zaidi yako wewe, imagine mtoto wa kiume aliestaarabika mwenye Mama anaemuhudumia kwa Kila kitu lkn anatoka na vi ben10 wenye umri Kama wake(hiyo mtoto wa kiume) au chini yake?. Siku zote unapopatwa na tatizo, angalia upande wenye mwanga zaidi.
Cha kufanya kwasasa kikubwa, usitarajie chochote kutoka kwake, matarajio yako kwake ndy yanayokutesa. Sababu ushajua una Mama wa Aina gani, Basi unapomfamyia kitu mfano kumpa pesa au zawadi yyt Basi usitarajie akushukuru. Wewe toa Kisha endelea na shughuli zingine akishushukuru sawa asiposhukuru sawa , no More no less, let it be ur motto fanya Kila kitu kwake kwa kiasi. Ukimuomba pesa asipokupa usisononeke kwanini hajakupa hata Kama unajua anayo.
Jua madhaifu yake Kisha yafanyie kazi, ambayo yapo ndani ya uwezo wako deal nayo, ya nje ya uwezo wako achana nayo, endelea kuishi.
Usimlinganishe Mama yako na Mama wa wengine, mkubali Mama yako Kama alivyo na deal na hali Hy itakusaidia.
Tafuta mwenza Kama unahisi upo tayari kwa hilo, fanya commitment nae ya kueleweka, pendana nae ( huyu atakusaidia kukupa faraja na ushauri), ikiwezekana funga ndoa ili ikuongezee commitment na vipaumbele vipya.
Mwisho, ondokana na utumwa wa fikra kuwa lazima uajiliwe ndy uwe na maisha mazuri, unasoma/ umesoma maarifa uliyopata yakusaidie kujikwamua kiuchumi, Kama unaweza ingiza pesa unayosema laki tatu , nne au tano basi sioni kwanini uendelee kuhitaji kuajiliwa. Cha msingi kuwa na malengo ya kutaka kukua kwa kitu unachofanya Kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.Mimi siwezi kuongea maana nina hasira sana na kulia
Pia ukimwambia ukweli anasema unadharau kiburi unajiona umepata
Watu hupata matatizo na kukimbilia wazazi wao haya we jifanye unajua
Hapo kisa nilimwambia hayo marejesho humalizi? Maana kila siku marejesho na kwa wiki anapeleka 62