new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 814
- 1,629
Tumia oil yoyote ya 5w-30 full syntheticNaomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Sema Tanzania. Ndo tumekariri toyota. Kama kenya na nissan. Hakuna anayejua utamu wa magari aka opt japanese cars. Binafs pesa yangu mwenyewe haitakaa inunue gari lisilo la ulaya.Gari za Toyota sizipendi ila kusema ukweli, Toyota ndio magari pekee yanayofaa kwenye hili bara la Afrika hasa ukija kwenye utengenezekaji wa gari lenyewe.
Nashukuru Sana mkuu, kwa discussion zenu za Audi A3. Actually i am about to buy one next month!Hao wanaokwambia Jetta itakusumbua spares hawazijui hizo gari. Jetta ya 2006 ni sawa na VW Golf Mk5 au VW Touran au Audi A3 ambazo spares zake zipo Tz kibao na bei ni nzuri. BMW is more expensive to maintain than VW so go for Jetta.
Gari nzuri, 2013 bado ina maisha marefu bila usumbufu. Germany cars VW, Audi ndio rahisi kumuduChief, Volkswagen Jetta 2013 ni gari ambayo naikubali mno. Naomba unipe ushauri kama ni gari imara na nzuri? Nimejiajiri hivyo mizunguko yangu sio mingi sana mjini. Naishi kaskazini mwa Tanzania. Natanguliza shukrani kwako mkuu
Kusema ukweli gari hizi ukipata mpya au low mileage maisha ni matamu sanaMimi huwa sinunui gari iliyozidi miaka mitatu toka itengenezwe. Au iliyozidi kms 10,000 toka itengenezwe.
Kwa changamoto mi sioni kama zipo ...naona kawaida tu. Nafanya service kwa wakati sehemu maalum siyo kwa mafundi mitaani.hapana.
Ninazo gari tano za mzungu.
ShukraniZote sawa. Tofauti body na nembo
Audi A3=VW Golf
Audi A4=VW Passat
Audi Q7=VW Touareg
Etc
Mazda bado changamotoKatika harakati za kutaka kubadilisha mchuma Subaru Forester ya 2013 ine niteka akili sana. leo wakati napitia review yake nikapata point kuwa Mazda CX5 ni bora kuliko Subaru likija suala la mafuta na perfomance; PRONDO vipi spea za mazda cx5 zinapatakina hapa kwetu kwa urahisi
View attachment 1203131View attachment 1203132
Unauza?
Gari nzuri, 2013 bado ina maisha marefu bila usumbufu. Germany cars VW, Audi ndio rahisi kumudu