Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Tumia oil yoyote ya 5w-30 full synthetic
 
Katika harakati za kutaka kubadilisha mchuma Subaru Forester ya 2013 ine niteka akili sana. leo wakati napitia review yake nikapata point kuwa Mazda CX5 ni bora kuliko Subaru likija suala la mafuta na perfomance; PRONDO vipi spea za mazda cx5 zinapatakina hapa kwetu kwa urahisi

2013_Mazda_CX-5_054Hi-1-1024x683.jpg
2013_subaru_forester_used_10442590_1.jpg
 
Gari za Toyota sizipendi ila kusema ukweli, Toyota ndio magari pekee yanayofaa kwenye hili bara la Afrika hasa ukija kwenye utengenezekaji wa gari lenyewe.
Sema Tanzania. Ndo tumekariri toyota. Kama kenya na nissan. Hakuna anayejua utamu wa magari aka opt japanese cars. Binafs pesa yangu mwenyewe haitakaa inunue gari lisilo la ulaya.

Suala la bei ya spea uwaze na uimara. Suala la ukosef wa mafund uwaze ni sis wenyew kutoleta magar hayo. Mafund hufata soko. Nimeshatumia benz e class, lexus gs. Nitahamia benz ML. Alaf bei zao ndogo tatzo ushuru ni mkubwa mno kuliko japanese cars.
 
Hao wanaokwambia Jetta itakusumbua spares hawazijui hizo gari. Jetta ya 2006 ni sawa na VW Golf Mk5 au VW Touran au Audi A3 ambazo spares zake zipo Tz kibao na bei ni nzuri. BMW is more expensive to maintain than VW so go for Jetta.
Nashukuru Sana mkuu, kwa discussion zenu za Audi A3. Actually i am about to buy one next month!
 
Mimi huwa sinunui gari iliyozidi miaka mitatu toka itengenezwe. Au iliyozidi kms 10,000 toka itengenezwe.

Kwa changamoto mi sioni kama zipo ...naona kawaida tu. Nafanya service kwa wakati sehemu maalum siyo kwa mafundi mitaani.hapana.

Ninazo gari tano za mzungu.

RRONDO
 
Chief, Volkswagen Jetta 2013 ni gari ambayo naikubali mno. Naomba unipe ushauri kama ni gari imara na nzuri? Nimejiajiri hivyo mizunguko yangu sio mingi sana mjini. Naishi kaskazini mwa Tanzania. Natanguliza shukrani kwako mkuu
 
Gari nzuri, 2013 bado ina maisha marefu bila usumbufu. Germany cars VW, Audi ndio rahisi kumudu
 
Mimi huwa sinunui gari iliyozidi miaka mitatu toka itengenezwe. Au iliyozidi kms 10,000 toka itengenezwe.

Kwa changamoto mi sioni kama zipo ...naona kawaida tu. Nafanya service kwa wakati sehemu maalum siyo kwa mafundi mitaani.hapana.

Ninazo gari tano za mzungu.
Kusema ukweli gari hizi ukipata mpya au low mileage maisha ni matamu sana
 
Nje kidogo ya lengo. Nazikubali sana Ford Kuga za 2010 au 2012. Vipi zinafanya vema
NB:hela sina ninatamani tu
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom