Tunaomba Updates za Interview za Tasac

Tunaomba Updates za Interview za Tasac

Jamaa kwa staili yake ya wenge ataumia sana.
Yaani hajiweki bize anawaza kitu kimoja tu.
Mkuu hii ndiyo Interview yako ya kwanza nini maana una wenge sana inaelekea,Iko hivi mala nyingi tokeo exactly huchukua wiki 4 hadi 5 mkuu pia usiwe unaweka mategemeo sana Nafasi za PSRS maana unaweza ukadata we piga Interview alafu fanya mambo yako siku mzigo ukitiki utaona tu jina lako na wala hawapigi simu kama unavyodhani.Kila la kheri ila punguza wenge
 
Fanya udondoke babuuu
Tujuzane watapanga lin maana kikao wamekaa juzi tu trh 5 leo nimeenda wameniambia watanipigia simu sasa duh ninapoishi nimejichomeka sina guarantee nilidhani wiki mambo tayar nijue naanza vip life naona kama itachukua mda sana kama mwezi niondoke kidogo niende mkoani
 
Vip process maana nimeambiwa nipeleke certified copy ya vyeti
Wamekaa kikao trh 5 leo trh 8
Screenshot_20200908-104134.jpg
 
Back
Top Bottom