Jumanne yatatokaMkuu imeisha. Any words?
Jumanne yatatoka
[/QUOTE
Nadhni ivyo il kwa moyo mkunjufu niwatakie kheri na hongera wote watkoajiriwa ngoja nifuatili ishu za koroho hali ni ngumu😂😂😂naweza kupata chochote
Mkuu hii ndiyo Interview yako ya kwanza nini maana una wenge sana inaelekea,Iko hivi mala nyingi tokeo exactly huchukua wiki 4 hadi 5 mkuu pia usiwe unaweka mategemeo sana Nafasi za PSRS maana unaweza ukadata we piga Interview alafu fanya mambo yako siku mzigo ukitiki utaona tu jina lako na wala hawapigi simu kama unavyodhani.Kila la kheri ila punguza wengeMkuu imeisha. Any words?
Mwache huyo chambo awe ana update uzi hapaMkuu hii ndiyo Interview yako ya kwanza nini maana una wenge sana inaelekea,Iko hivi mala nyingi tokeo exactly huchukua wiki 4 hadi 5 mkuu pia usiwe unaweka mategemeo sana Nafasi za PSRS maana unaweza ukadata we piga Interview alafu fanya mambo yako siku mzigo ukitiki utaona tu jina lako na wala hawapigi simu kama unavyodhani.Kila la kheri ila punguza wenge
Babu hebu acha kejeli. Uzi nimeanzisha mwenyewe na ninaweza kuongea chochote ili tu nipate comments za watu. Sikukuita hapa jaribu kuwa na adabu kidogo usijione you are free kuongea utopolo wako kwa yoyote. Haikuwa muhimu wewe kuja kucomment hapa ungeweza kufanya mambo mengine.Mkuu hii ndiyo Interview yako ya kwanza nini maana una wenge sana inaelekea,Iko hivi mala nyingi tokeo exactly huchukua wiki 4 hadi 5 mkuu pia usiwe unaweka mategemeo sana Nafasi za PSRS maana unaweza ukadata we piga Interview alafu fanya mambo yako siku mzigo ukitiki utaona tu jina lako na wala hawapigi simu kama unavyodhani.Kila la kheri ila punguza wenge
Kijana wewe usiyekuwa naekiherehere ulifuata nini? Uzi nimecreate mwenyewe na wala sijakuita hapa. Nani mwenye kiherehere? Kuchangamsha uzi wangu unasema kiherehere. Shame on youMwache huyo chambo awe ana update uzi hapa
Maana hiki ni zaidi ya kiherehere sasa
Yani kila mtu humu ndani anajua ni afisa wa PSRS
Hao Jamaa hawajui vizuri unaweza piga interview pale ukaona umemaliza kila kitu Umeua kabisa
Subiri muda WA kuitwa kazini unaachwa hata hatoamini Kama ndio wale walimwambia best of luck
Saa hizi saa 07:07 asubuhi umeni quote saa 3 zilizopita Yani saa 10 Alfajiri Ulikua unaota TASAC [emoji23] [emoji23]Kijana wewe usiyekuwa naekiherehere ulifuata nini? Uzi nimecreate mwenyewe na wala sijakuita hapa. Nani mwenye kiherehere? Kuchangamsha uzi wangu unasema kiherehere. Shame on you
Babuuu kama sina ajira yenye security unadhani nitakosa kuota TASAC kweli? Naomba Mungu asaidie tu maana mtaani hali ni mbaya sana.Saa hizi saa 07:07 asubuhi umeni quote saa 3 zilizopita Yani saa 10 Alfajiri Ulikua unaota TASAC [emoji23] [emoji23]
Ila nini week hii tu mambo yana tick sawa mwenye uzi wake [emoji23]
Halafu the way ulivyojitahidi kweny oral ndo unajipa nafasi kubwa ya kuchaguliwa maana pale wanajua wao kama ulishapita written ukifanya vizur oral unaweza wekwa databaseUnataka kuniambia performance hawatoangalia kabisa? Zile nafasi hamsini hata wakichomekana watachukua tu wenye uwezo pia
Ukitoswa usiwe na wasi njoo kusini kirosho zishaanza 😂😂😂huku kutafuta wateja tununue toka shambaniUnataka kuniambia performance hawatoangalia kabisa? Zile nafasi hamsini hata wakichomekana watachukua tu wenye uwezo pia
Mara nyingi ukiwa na kimuhe muhe cha matumaini ya kupata ndo unakosa, unashangaa unakuja kupitwa kwenye ile ambayo hukutarajiaMkuu hii ndiyo Interview yako ya kwanza nini maana una wenge sana inaelekea,Iko hivi mala nyingi tokeo exactly huchukua wiki 4 hadi 5 mkuu pia usiwe unaweka mategemeo sana Nafasi za PSRS maana unaweza ukadata we piga Interview alafu fanya mambo yako siku mzigo ukitiki utaona tu jina lako na wala hawapigi simu kama unavyodhani.Kila la kheri ila punguza wenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saa hizi saa 07:07 asubuhi umeni quote saa 3 zilizopita Yani saa 10 Alfajiri Ulikua unaota TASAC [emoji23] [emoji23]
Ila nini week hii tu mambo yana tick sawa mwenye uzi wake [emoji23]
kajojo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiogope Utumishi wako fair sana, Kama ulifanya vizuri kazi utapataUnataka kuniambia performance hawatoangalia kabisa? Zile nafasi hamsini hata wakichomekana watachukua tu wenye uwezo pia
Boss hii ni interview yako ya ngapi tokea umalize chuoBabuuu kama sina ajira yenye security unadhani nitakosa kuota TASAC kweli? Naomba Mungu asaidie tu maana mtaani hali ni mbaya sana.
Najua wewe mwenzangu ushapenya, ninyi si ndio wale mliokuja na magari yenu kwenye interview kama jamaa alivyokuwa akiwataja hapo juu!!