Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Wazanzibar waathirika tunaiomba UN kitengo cha haki za binadamu kuja kuchunguza madhila tufanyiwayo na CCM na viongozi wake.
Iko haja ya wananchi wa Zanzibar kudai haki yetu ya kimsingi katika umoja wa Mataifa zidi ya huja tunazo fanyiwa wananchi wa kaeaoda na chama tawala.
Iko haja ya kuandika barua na kukusanya ushahidi wa matokeo na kumpa Ndugu yetu Bi Salma Saidi kwenda UN katika kitengo cha haki za kibinadamu kuwauliza.
Je, wananchi wa Zanzibar hawana haki na wametolewa katika kitengo hicho ili kitoa Fursa viongozi wa CCM kufanya watakavyo?
Hivi sasa wananchi wa Zanzibar imekua tunaishi kwa hofu na hatuna tena imani na vyombo vya Serekali Dola kutulina sisi na malizetu imekua wao ndio madui zetu .
WANANCHI WA ZANZIBAR TUNAIOMBA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUJALI HAKI ZA WANANCHI WA ZANZIBAR.
Wazanzibar wote walioko nje na wananchi wote wenye kupigania haki za binadamu tunawaomba mufanye mandamano special ya kupaza sauti kutokana na uvunjaji wa haki za binadamu tunavyofanyiwa Zanzibar.
Tunakuomba Dada etu Bi Salma Saidi tukushikishe bendera hii uweze kutataga ulimwengu mpaka New York kwenda kudai haki zetu za wanyonge wa Zanzibar kuonewa.
Why Palala wa Pakistani kaweza? Bi Salma kwa vile ni moja wa victim wa haki za binadam tunataka tukushikishe bendera ili uzunguke ulimwengu kwenda ku up voice ya wananchi wanyonge wa Zanzibar.
Vitendo vilivyofanywa Zanzibar na watawala wamejisahau kwa vile hakuna hatua zozote za UN dhidi ya uchunguzi wa wasirika Zanzibar zilizofanywa.
Tunataka sauti yetu na sisi isikike ili kuletewa watalamu kuja kuchunguza kinachofanyika Zanzibar dhid ya raia .