Tunaomba serikali itoe ufafanuzi kuhusu makato kwenye mishahara ya mwezi wa nane!

Hapana
Kwanza hongera maana kama umekatwa laki mbili si haba utakuwa kamshahara kako ni kakubwa! AU LABDA NDIO NYIE MLIOKUWA MNAPATA MILIONI 40 SASA MMESHUSHWA HADI MILIONI 15!
Hapana kaka. Ingekuwa hivyo singelia hapa. Kamshahsra kenyewe hakatoshi hata kulipa ada ya watoto, st ksyumba
 
Salary slip siku hizi zinachukua mda mrefu kufika kwa ssbabu zinatoka hazina moja kwa moja!
Hiyo sababu munayopewa haikubaliki. Salary slip zinakuwa tayari kabla ya mshahara kutumwa benki. Ni uvivu wa HR personnel wenu tu kuzifuatilia. Waache viji excuse vibovu na wafanye kazi wanayolipwa kufanya. Kama wakivyokuwa zamani wanasema mikutano haiwezi kufanyika kwenye ukumbi wa jengo la ofisi, mbona sasa wanaweza!
 
Back
Top Bottom