kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Bila shaka yoyote wengi wataniunga mkono kuwa hali ya kibiashara ni mbaya sana kwa tulio wengi.Pia watumishi wa umma kwa vile hawana nyongeza yoyote ya mshahara na posho zimepungua wakati bei za vyakula ada na pango viko juu. Sasa ombi langu ni kwamba,rais atudsidie kuwaagiza wamiliki wa nyumba wasilazimishe kodi ya miezi sita hadi mwaka wakati hali yenyewe ndio hii.