Dereva kakosa confidence kabisa na tuko kwene eneo baya la bara barani, eneo lenye ajali sana. Pray for Us haya mapepo mengine yashindwe tufike salama
Amen Dada Rose1980, yaani nashindwa kuelewa lengo lake ni nini na hio ajali anayosisitiza kaionaje sijui, so confused dereva kasimama tumemwamuru aendelee na safari, sijui ana tatizo la kiakili au ndio maono yake, anashusha aya na kumtaka dereva asimame! God bless Us
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">unaweza kufanya kitu....chukua hatua....omba kwa ajili ya wengine......omba kwa bidii....msaada upo karibu yako sana.....lisikutishe hilo lidude.....usiogope.....</span></font></font>