Tunaomba msaada wenu wapendwa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,180
85,338
Nipo kwene Bus fro Mombo to Dar, sasa tupo Mlandizi, kuna Ustadh kapandisha mashetani anadai tutapata ajali, anataka dereva afunge breki! Hashikiki wala haeleweki.
Ombi, wazoefu wa mashetani kwa hali kama hii huwa mnafanyeje maana ustadhi anamchanganya Driver na nadhani dereva nae anaamini mambo haya? Tunaomba-ninaomba maombi yenu tufike salama dhidi ya laana za ustadhi huyu anaeongea kwa kiarabu! Be blessed
 
ashindweeeeeeeeeeeeeeeeeee ktk jina la yesu
naimimina damu ya yesu kristu nawafunika kwa uwezo wake na awanyoshee nguvu zake mpate fika salama...NAPINGANA NA LAANA ZOTE ZITOLEWAZO JUU YA SAFARI YENU NA NAPINGA MIPANGO YOTE YOTE YA SHETANI IFANYWAYO JUU YA SAFARI YENU

nakifunika kwa damu ya yesu chombo mtumiacho mpate kufika salama...ameni
 
Dereva kakosa confidence kabisa na tuko kwene eneo baya la bara barani, eneo lenye ajali sana. Pray for Us haya mapepo mengine yashindwe tufike salama
 
Amen Dada Rose1980, yaani nashindwa kuelewa lengo lake ni nini na hio ajali anayosisitiza kaionaje sijui, so confused dereva kasimama tumemwamuru aendelee na safari, sijui ana tatizo la kiakili au ndio maono yake, anashusha aya na kumtaka dereva asimame! God bless Us
 
Amen BT, ninaamini tutafika salama, Mungu yuko upande wetu!
 
do u blv in doz mashetan?...actually,u dnt hav 2...even if kuna ajali ilopangwa God can prevent it in any ways..juc pray dat it wont happen...huyo dereva nae awe na mcmamo kwa Mungu hivi akickiliza kila mwenye thoz things so-called mashetani,ataweza kulifikisha bac salama kweli?...watz tunakufa kwa superstitious beliefs 4 shizoooooooooooooo..............
 
Abiria wamekasirika sasa maana dereva kapunguza mwendo kabisa na tupo Highway na usiku huu kila mtu anaendesha anavyotaka, sijui kwanini huyu Ustadh aharibu safari yetu kiasi hiki! Tumemkosea nini?
 
Dereva kakosa confidence kabisa na tuko kwene eneo baya la bara barani, eneo lenye ajali sana. Pray for Us haya mapepo mengine yashindwe tufike salama

unaweza kufanya kitu....chukua hatua....omba kwa ajili ya wengine......omba kwa bidii....msaada upo karibu yako sana.....lisikutishe hilo lidude.....usiogope.....
 
Kibasi chenyewe kinaitwa Ya Razaq Machezo hata sijui maana yake nini nimejipandia tu mie shida ya usafiri wa Dar! I dont believe on those things either but nimeona vyema tukashirikishana, am also praying silently to oppose and crush those demons power
 
Amen Dada Rose1980, yaani nashindwa kuelewa lengo lake ni nini na hio ajali anayosisitiza kaionaje sijui, so confused dereva kasimama tumemwamuru aendelee na safari, sijui ana tatizo la kiakili au ndio maono yake, anashusha aya na kumtaka dereva asimame! God bless Us

derava nae anaamini ayo mambo thats y

imagine dereva angekuwa mlokole safi do u thk angeamin ayo maruhani?
dereva ni wale wale pia

MTAFIKA SALAMA

mamamaria atawasimamia watoto wake...shetan hawez kuthubutu..
 
Asante Preta, am praying hard na naamini MUNGU atasikia sala na maombi yetu, najaribu ku-relax maana hata dereva akiufunga breki abiria wanahamaki. Mungu yupo upande wetu
 
Abiria wanamtolea uvivu wanataka aondolewe mbele arudishwe siti za nyuma, wengine wanataka alishwe kitimoto! It's confusing. Namshukuru Mungu tumesogea sana na sasa ndio tunapita Kibaha Maili moja kwa NEEMA tu. Tumebakiwa na 40km kuingia Dar kwa NEEMA ya MUNGU
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">unaweza kufanya kitu....chukua hatua....omba kwa ajili ya wengine......omba kwa bidii....msaada upo karibu yako sana.....lisikutishe hilo lidude.....usiogope.....</span></font></font>
<br />
<br />

U have said right Preta!

Keep on praying Brother, nothing will happen and U will arrive safely to the destination!

Im praying for U too bro! Let us know once arrived.
.
 
Asante Husninyo but imagine mtu anasimama anaanza kuongea kwa lugha usiyoelewa na kisha anasisitiza kwa kiswahili kuwa tutapata ajali, huku akimtaka dereva asimame! Driving za usiku ni ngumu lakini pia hili eneo la chalinze-dar ni miongoni mwa maeneo mabaya sana halafu mtu anasimama tena kwa sauti kubwa na kuropoka! Namwamini Mungu, if I should die let it be for God na sio kwa maneno ya hawa viumbe!
 
mungu yupo upande wenu m
tafika salama kabisa nimetakasa barabara zote kwa damu ya yesu.
 
Asante SaidAlly, it's my hope too kwamba tufike salama! Haya sasa dereva kapanda tuta (speed hump) asa ivi abiria wamesimama kwa woga! what's this? Niliamua kufunga kabisa mkanda wa siti yangu na kuendelea kuomba lisitokee jambo na kama litatupata lolote iwe ni kwa mapenzi ya MUNGU peke yake!
 
Asante Suya, asanteni mnanitia nguvu, jamani ajali ni ajali na inatisha, haya kituko kingine tena, jamaa ana simu ya mchina kaweka sauti ya juu, imeita kwa sauti ya juu abiria wameshtuka tena walidhani sijui ndio hayo majini?! hakika safari sitaisahau!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom