Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,180
- 85,339
Nipo kwene Bus fro Mombo to Dar, sasa tupo Mlandizi, kuna Ustadh kapandisha mashetani anadai tutapata ajali, anataka dereva afunge breki! Hashikiki wala haeleweki.
Ombi, wazoefu wa mashetani kwa hali kama hii huwa mnafanyeje maana ustadhi anamchanganya Driver na nadhani dereva nae anaamini mambo haya? Tunaomba-ninaomba maombi yenu tufike salama dhidi ya laana za ustadhi huyu anaeongea kwa kiarabu! Be blessed