Tunaomba mkutano wa UKAWA Mbeya mjini uonyeshwe live!!

Tunaomba mkutano wa UKAWA Mbeya mjini uonyeshwe live!!

lalana

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
11
Reaction score
5
Nilimsikia meneja kampeni wa UKAWA akisema Mh.Lowasa leo anaanza ziara mbeya na kesho atakua mbeya mjini, mbeya ni moja ya mikoa yenye hamasa kubwa, kwanini huu mkutano usilushwe live makamanda?.
 
Watafanya signal jamming kama last time Arusha.Dawa yao ni kuwashtukiza
 
Tena ikiwezekana wa urushe mda ambao mdahalo wa ccm na twaweza utakuwa ukirushwa
 
Naunga mkono mkuu pia kuna sifa ya ziada kwa kuwa mkoa mziwanda wa kampeini zake.
 
Yaani Afande Fojuman ulichokifikiria wewe na ndicho nilichokifikiria mimi. Utafikiri wakati unawaza hilo kama tulikuwa wote vile!!!
 
Nafikiri afya ya mgombea ni tatizo, muda wowote mambo yanaweza kuharibika. Na wananchi watakuwa wanatazama live, mmesahau jangwani ile aibu.
 
Nafikiri afya ya mgombea ni tatizo, muda wowote mambo yanaweza kuharibika. Na wananchi watakuwa wanatazama live, mmesahau jangwani ile aibu.

Wewe ni Daktari wake, acha masihara na afya ya mtu, usipende kukejeli wakati wewe mwenyewe huna uhakika na afya yako, na hakuna anayenunua ugonjwa wewe Leo unakejeli kesho unapata gonjwa la ajabu na yeye anaendelea na maisha yake
 
Back
Top Bottom